Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka za serikali perseeCRDB na NMB ni za Serikali kwa Ubia🐼
Bank ya Posta sasa ndio imekuwa ya biashara na inamilikiwa na serikali 100%Nataka za serikali persee
Bank kuu siyo bank ya biasharaBenki kuu ndiyo benki yake ya biashara.
JidanganyeeeBank kuu siyo bank ya biashara
Soma uchumi utaelewaJidanganyeee
Azania Bank na TCBNataka za serikali persee
Azani na tcb siyo za serikali. Ni impure public goodsAzania Bank na TCB
Wewe unaishi nchi gani? Ila kwa Tanzania Serikali inayo mabenki yake. Tanzania inayo Benki ya Kilimo (Tanzania Agricultural Bank-TADB) kwa ajili ya mikopo ya Kilimo, inayo Benki ya Uwekezaji Tanzania (Tanzania Investment Bank)-kwa ajili ajili mikopo ya kitaji ya biashara na inayo Benki ya Biashara Tanzania (Tanzania Commercial Bank) zamani ikijulikana kama Benki ya Posta au Tanzania Postal Bank.The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo?
Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
Asante kwa mwongozo
Unaongea nini wewe? unaleta sera za Kijamaa hapa zilizo feli vibaya sana?The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo?
Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
TCP na Azania ndiyo benk zakeThe government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo?
Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
hiyo inatikwa Kwa sasa Tanzania Commercial Bank NI ya serikali asilimia 100 pia kuna Benki ya kilimo Tanzania Yaani Tanzania Agricultural Development Bank inamilikiwa pia asilimia 100 na serikaliBank ya Posta sasa ndio imekuwa ya biashara na inamilikiwa na serikali 100%