Kwa nini serikali huwa haina bank yake ya biashara? Kuna logic gani serikali kutokuwa na bank hiyo ili kupungunza riba?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo?

Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
 
Umeshajijibu swali lako uliposema "The government is always there for welfare maximization but not profit maximization"

Kila biashara lengo lake ni kupata profit.
 
kwa sababu riba inalipwa kwa wenye dunia, serikali haiwezi na haina uwezo wa kufuta riba ikijaribu kesho jen zee wataingizwa barabarani …
 
The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo?

Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
Wewe unaishi nchi gani? Ila kwa Tanzania Serikali inayo mabenki yake. Tanzania inayo Benki ya Kilimo (Tanzania Agricultural Bank-TADB) kwa ajili ya mikopo ya Kilimo, inayo Benki ya Uwekezaji Tanzania (Tanzania Investment Bank)-kwa ajili ajili mikopo ya kitaji ya biashara na inayo Benki ya Biashara Tanzania (Tanzania Commercial Bank) zamani ikijulikana kama Benki ya Posta au Tanzania Postal Bank.

Lakini pia Serikali ina hisa zake aslimi 51 kama hazijashuka katika Benki ta Taifa ya Biashara (National Bank of Commerce-NBC) na pia inayo hisa NmB na CRDB etc.
 
The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo?

Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
Unaongea nini wewe? unaleta sera za Kijamaa hapa zilizo feli vibaya sana?
 
The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo?

Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
TCP na Azania ndiyo benk zake
 
Bank ya Posta sasa ndio imekuwa ya biashara na inamilikiwa na serikali 100%
hiyo inatikwa Kwa sasa Tanzania Commercial Bank NI ya serikali asilimia 100 pia kuna Benki ya kilimo Tanzania Yaani Tanzania Agricultural Development Bank inamilikiwa pia asilimia 100 na serikali
 
Back
Top Bottom