yaliyopo sasa yanatosha kabsa mbona wanacheza hizo video zimejaa mtandaoni mimi kama raisi ajae sitaruhusu upuuzi huu labda mpaka nione dadaako kaanza kucheza hizi video mbele yako
Inawesa kua zaidi ya karne. Labda nikuulize, miaka mia moja ilopita Uingereza ilikua kama Tanzania ya sasa? Yaani sisi tupo miaka hats miatano nyuma. Kwa mfano kama nchi zilizoendelea zingesimama Leo kuendelea, he ingetuchukua miaka miangapi kuwafikia huku tukitegemea kila kitu tukivumbue sisi?