Kwa nini serikali isiruhusu waTz kucheza vodeo za X?

Kwa nini serikali isiruhusu waTz kucheza vodeo za X?

yaliyopo sasa yanatosha kabsa mbona wanacheza hizo video zimejaa mtandaoni mimi kama raisi ajae sitaruhusu upuuzi huu labda mpaka nione dadaako kaanza kucheza hizi video mbele yako
 
Kwaiyo baada ya kuwaza sana namna ya ku-support tz ya viwanda wewe unakuja na wazo hili

Kwa maana hiyo hujaona fursa nyingine zaidi ya hii ya kucheza sex video ???
 
Waruhusu pia biashara ya ukahaba, kodi itakusanywa sana kama kutakuepo mashirika yaliyosajiliwa yanayoendesha hiyo business
 
Inawesa kua zaidi ya karne. Labda nikuulize, miaka mia moja ilopita Uingereza ilikua kama Tanzania ya sasa? Yaani sisi tupo miaka hats miatano nyuma. Kwa mfano kama nchi zilizoendelea zingesimama Leo kuendelea, he ingetuchukua miaka miangapi kuwafikia huku tukitegemea kila kitu tukivumbue sisi?
wazo zuri ila bado africa hatujafika uko wenzetu wazungu wametupita maaendelea kwa karne 1 sisi africa tupo nyuma yao kwa karne moja
 
Back
Top Bottom