Kwa nini serikali isiruhusu waTz kucheza vodeo za X?

Kwa nini serikali isiruhusu waTz kucheza vodeo za X?

Kwa africa bado hata huo mtandao wa naijauncut.com unaona kuwa bado wana aibu. Mara nyingi hawaoneshi nyuso, wanajifunga vitambaa n.k Hii ni kuoneisha kuwa bado wanahisi jamii haijawakubali.
kingtblackhock afichi kitu mzee baba
 
Ukiona dada yako au Mwanao ana... utajisikiaje?
 
😂😂😂😂😂 yule jamaa bwana... hapa duniani kila kitu ni uamuzi ujue yule jamaa kaamaua kujipatia hela huku anakula utamu alafu sasa safety first huwa anaonyesha hadi anavyowapima HIV wale mademu kabla ya kuwagegeda... 😂😂😂
Sema kitambo alikuwa anawaficha sura sijui sasa hivi
 
Inahitaji ujasiri wa Hali ya juu ukizingatia tumeumbwa na nyuso za Aibu...
 
"Bali WAOGA, na WASIOAMINI, na WACHUKIZAO, na WAUAJI, na WAZINZI, na WACHAWI, na hao WAABUDUO SANAMU, na WAONGO WOTE, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti..." ~ UFUNUO 21:8
 
Uko tayari kuona watu wako wa karibu wakicheza hizo X?

Utafurahi kuona dada zako na mama zako wadogo wakicheza hizo X?
Au unataka uruhusiwe ili udhalilishe familia za wengine kwa kutumia madhaifu yao?

Kwahiyo kila kichafu anachafanya mzungu ni halali kufanywa na wengine kisa tu eti kwavile mzungu anafanya?
 
Mawakala wa shetani kazini, unataka kucheza picha za ngono na Mama/Dada zako, shetani ushindwe kwa jina la Yesu
 
wazo zuri ila bado africa hatujafika uko wenzetu wazungu wametupita maaendelea kwa karne 1 sisi africa tupo nyuma yao kwa karne moja
Wenzetu wamefika huko lakin umengalia moral compass yao ikoje?

je wajua asilimia kubwa wa wanaotazama hizo video za ngono si wazungu.. ni africa , asia wanaongoza..?

Kwann wao haiwaathiri ?
 
hivi free web kama xvideos inatengeneza vipi pesa ?
 
Mkuu nimecheka kama mazuri ila kama hill wazo hujatoa kwa utani basi nimeona unaelekea sehem sahihi katika kuwaza maisha big up bro.....
 
Madhara ni mengi kuliko faida....

Kuna fursa zenye utu nyingi sana......kwann tuanze kucheza picha za uchi.....

Kama shida yako ni kujionea tupu za wanawake wa kitanzania....si uende kwenye madanguro huko, kuna kila aina ya kituko kinachotakiwa kufanyika ili kudhihirisha ukichaa wa binadamu
 
Back
Top Bottom