tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Nimehitimu chuo na nimesoma bachelor of science in WILDLIFE MANAGEMENT.
Nimekua nikisaka job kwa nguvu zote bila mafanikio ila kadri siku zinavyokwenda ndio ninakua na nguvu zaidi za kusaka kazi, sasa wadau naombeni ushauri au support yeyote sababu hali ni tete.
Wanaojua NGO's zinazo deal na conservation please let me know... Nipo pande hizi za arusha
Nawewe bwana sio light, ni right! Ninyi ndio akina Mulugo wa miaka ya baadae