Sasa watafanyaje wakati idadi yao ni kubwa kuliko wanaume? Mnawaonea bure jamani....Wadau nini haswa kimewaingia akina Dada haswa huku mjini hataki uhusiano wamda mrefu,
Pili wengi wanapenda waume za watu
Tatu Wapo kimaslahi zaidi mimi hiikitu inanishangaza sana utasikia mimi nina mumewa mtu ndo boyfriend wangu mume wamwenzio unasema ni Boyfriend wako jamani??!!!Ukimpata akaona unamganda lazima akutafutie sababu z.kukwaza ili hawe huru nisaidieni kwanini
simply bcoz wanaume wanaboa saaaaaaaaaaaaaaana ol da tyme WENGI WAO na kuna wachache ambao ni km malaika vile wanavyojua kutreat mwanamke!
ukisema utulie nayeye na umuendo km yeye mfalme stl atakuboa tu atajifanya asense kitu na kukulipa mabaya so da solution iliyopo ni part tyme game o waume za watu ambao automatically ni part tyme n short tym as it is
lakin awa mabofrend wetu awa wamtumba kwa kuboa magalfrend weeeeeeeeeeeee hawafai.......!!!!!!!!!!!!1
kuish single smtmes z wealth snce its stress free compare to mastress ambayo binadamu mwenzako makusudikally anakuletea bila huruma ili tu roho ikuume!!!!!
thou mungu apend cz kasema muijaze dunia so kuolewa ni muhimu bt mmh.........wanaume makorokocho!!!!!!!!!!!
If our moms had not been tempted.......we would not be here!
nimeipenda zaidi hii!
back to topic.. wanapenda kuwa single kutokana na maumivu waliyoyapata kwenye mapenzi, na wengi wao wanadai mume wa mtu huhitaji kuwa commited kwake na wanachunika kirahisi!
Ahaaa! Kumbe sisi waume wa watu ni dili siku hizi? Sikujua hili. Mama naomba niku-tempt kidogo:sick:
Sasa kwanini usimchune mwenyewe?mbona sitemptiki! wanaume wa watu wakuwa deal ndio maana kuna infidelity! hata wangu najua anachunwa somewhere!
Sasa kwanini usimchune mwenyewe?
Basi nichune mimi. Pato la familia yako litakuwa linachangiwa na wanaume wawili, huoni kama ni dili hilo?sasa nimchune nipeleke wapi? hawa wakuchuna wana nyumba zao,familia zao zinategemea kipato atakacholeta. mi hata nikimchuna bado itaingia kwenye pato la familia!