Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu huwa anaona mambo yanayomzunguka. Kama wanawake wengi unaokutana nao ni wa aina hiyo, ukweli ni kwamba you are a type of a guy who attracts those kind of women. To another type of a guy, things would be totally different.
So, it's not the fact, but you.
Mimi kwangu ni kinyume, wanawake naokutana nao wote wanataka everlasting relationship, and they have never been after money, even for once. But this is not the fact, it's me!
Wanasema, ukivaa miwani ya blue, basi kila kitu kinaonekana cha blue, but it's not the fact, ni miwani.
majority ya Vidume wamekuwa waongo na kuwaumiza sana wapenzi wao jamani!!!! bora uwe single and FREE
Hommie labda hajui maana ya kuwa free!huezi kuwa FREE bila mwanaume......utakuwa unajidanganya tu,,
Hommie labda hajui maana ya kuwa free!
Tatizo hajibu PM, sijui ndio freedom zenyewe hizo?:lock1:hommie hapo hebu mshaurianione PM nimweleweshe.,,,,,:lol: