SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
Hakuna aliyejua kwamba Sefi Sharrif Hamad ana midevu mingi wakati yuko serikalini. Alikuwa smart hana udevu hata mmoja. Lakini Seif alipofukuzwa CCM na kuwekwa gerezani, alipotoka huko akawa ni mtu midevu mingi hadi leo.
Sasa kuna huyu Zitto Kabwe. Huyu naye alipokuwa CHADEMA hakuwa hata na udevu mmoja. Alipofukuzwa CHADEMA akakaa miaka kadhaa naye akaanza kufunga midevu.
Tena mikwa usahihi zaidi ni kwamba midevu ya Zitto Kabwe imezidi baada ya kuoa na inaelekea haipitishi kitana.
Wataalam wa saikolojia saidieni kelimisha, asili ya midevu baada ya tukio fulani ina maana gani?