Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna aliyejua kwamba Sefi Sharrif Hamad ana midevu mingi wakati yuko serikalini. Alikuwa smart hana udevu hata mmoja. Lakini Seif alipofukuzwa CCM na kuwekwa gerezani, alipotoka huko akawa ni mtu midevu mingi hadi leo.
Sasa kuna huyu Zitto Kabwe. Huyu naye alipokuwa CHADEMA hakuwa hata na udevu mmoja. Alipofukuzwa CHADEMA akakaa miaka kadhaa naye akaanza kufunga midevu.
Tena mikwa usahihi zaidi ni kwamba midevu ya Zitto Kabwe imezidi baada ya kuoa na inaelekea haipitishi kitana.
Wataalam wa saikolojia saidieni kelimisha, asili ya midevu baada ya tukio fulani ina maana gani?
Hakuna uhusiano kati ya ndevu na ndoa kwenye uislamuWaisilamu hufuga Ndevu baada ya Kuoa. Na Zitto ameanza kufuga Ndevu baada ya Kuoa.
Uarakati wa alkaidaNdo uarakati huo
Eti wewe ni Post-graduate candidate halafu unakuja na mada ya kuhoji ndevu za mtu!!Hakuna aliyejua kwamba Sefi Sharrif Hamad ana midevu mingi wakati yuko serikalini. Alikuwa smart hana udevu hata mmoja. Lakini Seif alipofukuzwa CCM na kuwekwa gerezani, alipotoka huko akawa ni mtu midevu mingi hadi leo.
Sasa kuna huyu Zitto Kabwe. Huyu naye alipokuwa CHADEMA hakuwa hata na udevu mmoja. Alipofukuzwa CHADEMA akakaa miaka kadhaa naye akaanza kufunga midevu.
Tena mikwa usahihi zaidi ni kwamba midevu ya Zitto Kabwe imezidi baada ya kuoa na inaelekea haipitishi kitana.
Wataalam wa saikolojia saidieni kelimisha, asili ya midevu baada ya tukio fulani ina maana gani?
Ni MEKwanza tujue jinsia yako wewe mleta mada.Itakuwa ni aibu kama ni mwanaume kuja humu kumfungulia uzi mwanaume mwenzio kuhusu ndevu zake
Basi khatariNi ME
Eti wewe ni Post-graduate candidate halafu unakuja na mada ya kuhoji ndevu za mtu!!
Mchunguze tena utuambie anavaa boxer rangi zipi kwa nyakati hizo ulizozitaja.