Kwa nini siku hizi Zitto Kabwe ameaamua kujachia midevu kibao

Ni uchafu tu wa asili na kumiliki wake wawili majukumu yake c mchezo mengine lzm ajisahau.
 
Inamaanisha hayumbishwi hana wakumshawishi yeye yuko na misimamo yake kasha penda hatafut mchumba
 
Nataka kujua jinsia yako kwanza, kama wewe ni mwanaume anza kufuatilia mienendo yako,
 
Wakati Hana hio midevu uliulizia ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…