Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #21
Pole NN Inatokea sana ila unatakiwa haraka sana ujirudi na kujitahidi kumsahau huyu mpya kabla hujaingia MAJARIBUNI.
Hii ni kawaida sana, wakati mwingine inaitwa missed opportunities!.
Watu huingia kwenye long time commitment for varois reasons, beauty, security, companionship, or just for convenience, prestige, etc etc,.
Mahusiano mengi ya love yako based on tamaa na infatuation za physical love na emotional. True love is spiritual love, ambayo ni mara chache hufikiwa.
Sasa inapotokea mahusiano yako ndiyo hayo mengine na mkaingia kwenye serious commitment, then spiritual love ikaibukia pembeni, lazima utajilaumu alikuwa wapi huyu!.
Watu wengi hujikuta wameoa/olewa na fulani, ila baadae ndipo wakajistukia kumbe anayempenda kweli ni mwingine. Hapo ndipo dini ya Kikristo inapopenyeza rupia yake kuwa Huo ni Msalaba wako, unatakiwa kujikana nafsi yako na raha zako, na kuubeba msalaba wako mpaka pale mmoja wenu atakapoitwa!.
Je, imeshawahi kukutokea ukakutana na mtu (wa jinsia tofauti) mka click sana kiasi cha kuanza kujiuliza kwa nini hukukutana naye mwanzo kabla ya kuwa/ kukutana na mtu uliye naye sasa? Kama imewahi kukutokea hivyo, ulikabiliana vipi na hali hiyo?
We acha huyu mtoto mpaka kesho naumia roho ananiumiza dah mawasiliano ndo hivyo sijui nae alisha kufa namkumbuka vizuri alikuwa na asili ya Kinyarwanda mtoto pua imechongoka umbo namba 8 dah we acha nilivyo kuwa nakatisha nae maeneo ya Saba saba kule kusagula watu shingo feni tu nilikuwa naenda nae maeneo ya Mazimbu kula mdudu wadau mate yanawatoka tu.
hahahaha ukibahatika kukutana na hali hiyo basi ushukuru Mungu, maana mpaka mapigo ya moyo huonyesha furaha ya aina fulani...but I plead the fifth...LOL...very good question.
Jinsi ya kumjua rafiki wa kweli na wa uwongo ni kumpitisha kwenye majaribu. Kama ni wa kweli atahimili, kama ni wa uongo utamwona mwelekeo wake. Kazi!Kutokana na hii elimu ninayozidi kupata hapa siku baada ya siku, nitasubiri tu mpaka atokee anayenipenda kweli. Tatizo ni jinsi ya kupima na kuthibitisha kuwa huu ni upendo wa kweli na si tu amependa 'mwili jumba' au hivi vijisenti kidogo ninavyopata kwenye mahangaiko yangu, au anataka mume kwa kuwa age mates wake wote wameolewa kabaki yeye, so is ready to settle with whomsoever cometh by! Kwa kweli niko tayari kubakia bachelor tu kuliko kuoa 'msanii'. Yaani hili linanikwaza sana hata kuji-commit kwa girlfriend nashindwa. Nina marafiki, na baadhi yao wasichana niko karibu nao sana mtu anaweza kudhani nita-propose hiki au kile, but nasita sana. Suala la kumega linakuwepo but strictly kwa condom, na siumii hata chembe nikisikia washkaji wengine wamemega hapohapo, sasa sijui kama hilo ni tatizo lingine, lakini surely nahisi hii kitu 'true love' ni bidhaa adimu sana.
Je, imeshawahi kukutokea ukakutana na mtu (wa jinsia tofauti) mka click sana kiasi cha kuanza kujiuliza kwa nini hukukutana naye mwanzo kabla ya kuwa/ kukutana na mtu uliye naye sasa? Kama imewahi kukutokea hivyo, ulikabiliana vipi na hali hiyo?
When your heart stops and then it starts beating again....when your composure is gone....ooooh my! What can I say...
Mtu B, Kweli True Love ni bidhaa adimu sana, na ni mbaya sana pale unapobahatika kuipata halafu haishikiki, thamani yake ya juu, au wewe uwe huna thamani kwake. Utatamani ukatishe maisha. Hii inatakiwa itokee both sides.
Imewahi kunitokea..Kwa vile ni penzi jipya nikaona yaani huyu mtu alikuwa wapi siku zote mana alinikosha!..Tatizo ni kuwa hali kama hii mara nyingi hutokea tayari una mtu mwingine hivyo kukabiliana nayo ni ngumu mana upo rltshp na bado umechanganywa na mwingine..kazi si ndogo!
When this happens its mostly about comparison...seeing what is missing in what you have currently. Believe me its never worth it...some infact turn out to be total losers and dissapointments.
It is just a cliche. Some just have a personality, and they will click uptenth times....but haina maana it was meant to be that person.
BJ, ndiyo hapo utasikia Mke wa fulani kamkimbia mumewe nasikia anaolewa na fulani, au Mume wa fulani kamkimbia/kamuacha mkewe inasemekana anamuoa fulani. Na baada ya muda harusi inakuwa kweli. Binadamu wote tuna mapungufu lakini yana hitilafiana sana. Mapungufu ya binti A yanaweza kuwa na ahueni kubwa sana ukilinganisha na ya binti B, na vivyo hivyo mapungunfu ya mwanaume A yanaweza kuwa ni makubwa sana ukilinganisha na mapungufu ya mwanaume B