Hii ni kawaida sana, wakati mwingine inaitwa missed opportunities!.
Watu huingia kwenye long time commitment for varois reasons, beauty, security, companionship, or just for convenience, prestige, etc etc,.
Mahusiano mengi ya love yako based on tamaa na infatuation za physical love na emotional. True love is spiritual love, ambayo ni mara chache hufikiwa.
Sasa inapotokea mahusiano yako ndiyo hayo mengine na mkaingia kwenye serious commitment, then spiritual love ikaibukia pembeni, lazima utajilaumu alikuwa wapi huyu!.
Watu wengi hujikuta wameoa/olewa na fulani, ila baadae ndipo wakajistukia kumbe anayempenda kweli ni mwingine. Hapo ndipo dini ya Kikristo inapopenyeza rupia yake kuwa Huo ni Msalaba wako, unatakiwa kujikana nafsi yako na raha zako, na kuubeba msalaba wako mpaka pale mmoja wenu atakapoitwa!.