bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Mimi kuna mdada hapa
huwa najiuliza hivyo hivyo.....
But sijaonanana nae phisically
she knows it......
una hatari wewe...........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kuna mdada hapa
huwa najiuliza hivyo hivyo.....
But sijaonanana nae phisically
she knows it......
Mimi kuna mdada hapa
huwa najiuliza hivyo hivyo.....
But sijaonanana nae phisically
she knows it......
una hatari wewe...........
bht ... jamaa ana maanisha wewe nini??
Na usilolijua ni kama usiku wa giza nene, achana nalo litakusumbua buree!kweli cwezi jua ...
Boooy u r in so much trouble...Mimi kuna mdada hapa
huwa najiuliza hivyo hivyo.....
But sijaonanana nae phisically
she knows it......
Kakaaaa! Ulikuwa una-enjoy show time sio? Ulikuwa ushamjua kivilee! Utamu Wa. Mbunye usoijua+mitabia usoyajua na makiburi ya shangazi ale kingunge! Tehe tehe!We acha huyu mtoto mpaka kesho naumia roho ananiumiza dah mawasiliano ndo hivyo sijui nae alisha kufa namkumbuka vizuri alikuwa na asili ya Kinyarwanda mtoto pua imechongoka umbo namba 8 dah we acha nilivyo kuwa nakatisha nae maeneo ya Saba saba kule kusagula watu shingo feni tu nilikuwa naenda nae maeneo ya Mazimbu kula mdudu wadau mate yanawatoka tu.
Je, imeshawahi kukutokea ukakutana na mtu (wa jinsia tofauti) mka click sana kiasi cha kuanza kujiuliza kwa nini hukukutana naye mwanzo kabla ya kuwa/ kukutana na mtu uliye naye sasa? Kama imewahi kukutokea hivyo, ulikabiliana vipi na hali hiyo?
nilivyo kuwa nakatisha nae maeneo ya Saba saba kule kusagula watu shingo feni tu nilikuwa naenda nae maeneo ya Mazimbu kula mdudu wadau mate yanawatoka tu.
hiyo ipo ila baada ya muda utagundua kuwa bora wa zamani. Mapenzi ni kunzungumkuti