Kwa nini Simba hawajatumia uwanja wa Azam Compex, wakachagua kwenda Zanzibar kwenye mechi ya nusu fainali CaF?

Mbona ule wa kino Simba anashinda na ni artificial.
Acheni maneno ya kusadikika .
Simba ni Bora hasa kimataifa
CAF hawana shida na Nyasi bandia, Mashindano ya FIFA ndio hayaruhusiwi kuchezwa kwenye nyasi bandia.

Ninachofahamu Simba kutokana na mambo yao ya kitamaduni hawataki kuchezea uwanja wa Azam kwakua wanasema wanapata Matokeo kwa shida sana.

Ni ushirikina tu ndio unawafanya wasicheze Chamazi ata Mechi ya Azam na Simba ilipelekwa Benjamin Mkapa.

Katika Mechi zao lazima wafukie makafara katika eneo la kuchezea Sasa eneo la kuchezea uwanja wa Azam ni Artificial grass ili ufukie kafara inabidi uchimbe lile zuria na ujinga uo Azam awataki na Simba waka amua mechi zao wasi chezeee apo.

Pale Benjamin Mkapa yule Meneja wa uwanja uwa wanagombana nae kwa ishu izo za kufukia makafara.

Inafikia muda ata yule Meneja wa uwanja wanadai kwenye mechi zao awe anachukua likizo ili awapishe wafanye yao.
 
Uwezi ukawa na timu ya kichawi alafu upige hatua katika soka, Mara wawashe moto uwanjani tena ugenini, mara wamwage chumvi mara wapakwe mafuta yaani ni mambo ya aibu sana.
Azam wali waambia mkitaka kucheza mechi ni lazima muwe Chini ya uangalizi wa walinzi wao maana amchelewi kutoboa kapeti la kuchezea mfukie Mbuzi.

Tangu wapewe sharti ilo awataki kusikia kuhusu uwanja wa Azam Chamazi
Kuna wapuuzi wanajitetea kuwa uwanja wa Azam hauna vigezo vya kuchezea robo Sasa ainisha ivyo vigezo!!
Uwanja wa Azam ulishakaguliwa na kupewa Certificate of clearance na CAF na auna tatizo lolote kwa kuchezewa hatua zote za mashindano.
 
Kwanini Yanga alihama hapo Azam?
 
Na yanga waliondoka azam complex shida ikiwa ni nini labda?
Naona unauelewa mzuri sana na mpira wetu wa nyumbani
Wale Azam washenzi. Walivujisha video zetu na pia kuonesha vyumbani tulifanya nini. Tukaona nao tuwakomoe wabaki na uwanja wao.
 
Uwezi ukawa na timu ya kichawi alafu upige hatua katika soka, Mara wawashe moto uwanjani tena ugenini, mara wamwage chumvi mara wapakwe mafuta yaani ni mambo ya aibu sana.
Azam wali waambia mkitaka kucheza mechi ni lazima muwe Chini ya uangalizi wa walinzi wao maana amchelewi kutoboa kapeti la kuchezea mfukie Mbuzi.

Tangu wapewe sharti ilo awataki kusikia kuhusu uwanja wa Azam Chamazi
Kuna wapuuzi wanajitetea kuwa uwanja wa Azam hauna vigezo vya kuchezea robo Sasa ainisha ivyo vigezo!!
Uwanja wa Azam ulishakaguliwa na kupewa Certificate of clearance na CAF na auna tatizo lolote kwa kuchezewa hatua zote za mashindano.

Mkuu JF sio sehemu ya Kupotosha.
Hapa ni sehemu ya kutoa Elimu kwa watu wasio na ufahamu kuhusu jambo Fulani.

Unapoandika Essay ndefu kiasi hicho iliyojaa ujinga unaonyesha yale uliyobeba kichwani mwako.
Biblia inasema mtu huyasema yale yaujazayo moyo wake.

Usitumie nguvu kubwa kwenye ushabiki, Elimu iwe mbele, ujinga Nyuma.
 
Uwanja wa Azam Complex unakidhi viwango vya kuchezewa mechi za kimataifa
Haukidhi, hauna nyasi asili. Hata katika hatua ya makundi hauruhusiwi. Mwisho wa ruhusa yake ni raundi ya awali, ile ambayo watu wanawafunga wasomali 6-0
 
Back
Top Bottom