Kwa nini Simba ikifungwa kelele huwa kidogo mitaani hapa nchini?

Kwa nini Simba ikifungwa kelele huwa kidogo mitaani hapa nchini?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec.

Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo?

Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
 
Shida huwa iko hapa [emoji116][emoji116] wakiwa wanaingia michezoni na matokeo yao mfukoni kabla ya mechi, lakini baada ya hapo huweziamini kama mashabiki wa Makolo ni wastaarabu sana.

JamiiForums605994146.jpg
 
Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec
Kwa nini wanaSimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo?

Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
sema tu kuwa huna uzalendo unataka kuzomea!
 
Sisi tunaipenda timu yetu, tunaimini sana tu na huwa inatupa kilicho bora kwa wakati wote ndio maana hutuchoki kuishangilia.... tukifungwa lazima tuhuzunike kwa sababu sio lengo letu
 
Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec. Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo?
Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
Basi itakuwa washabiki wa Simba wapo wengi kuliko wa timu nyingine zote nchini
 
Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec.

Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo?

Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
siyo kelele wanashangilia ushindi km ambavyo mwingine yyte akishinda anakuwa na furaha.

Mbona hata wale jamaa was mechi za chandimu wanashinda wanashikwa na dege dege kutoka uwanjani hadi mtaani as if kwamba hawajazoea kushinda.

Yote kwa yote ktk maisha ktk wakati wowote Kuna nyakati za furaha na huzuni. Japo zote huwa hazidumu muda wote.

Simba Ni kioo Cha kujitazama kwa timu zote Afrika Mashariki.

Simba nguvu moja 💪💪
 
Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec.

Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo?

Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
Sema wafalme wa mashariki Simba
 
Back
Top Bottom