Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
sema tu kuwa huna uzalendo unataka kuzomea!Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec
Kwa nini wanaSimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo?
Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
Basi itakuwa washabiki wa Simba wapo wengi kuliko wa timu nyingine zote nchiniLeo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec. Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo?
Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
siyo kelele wanashangilia ushindi km ambavyo mwingine yyte akishinda anakuwa na furaha.Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec.
Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo?
Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
Sema wafalme wa mashariki SimbaLeo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec.
Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo?
Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?