Kwa nini Simu nyingi za Samsung Hawana inbuilt Call recorder na VoLTE?/5G?

Kwa nini Simu nyingi za Samsung Hawana inbuilt Call recorder na VoLTE?/5G?

JourneyMan

Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
42
Reaction score
50
Unakuta flagship kabisa hawana hii option wakati ni jambo dogo sana kuliko kuanza ku install ma third party applications?

Kuna baadhi zinakuja na hii option nyingine ni mpk u download.
Nani Samsung yake ina support hii kitu?

Kuhusu VoLTE/5G nishakuaga na Samsung A9 Pro 2016 ilikua na hii kitu, leo hii hata flagship hazina.
 
Mbna mm nina a54 na inarecord vzuri tena inbuilt sema hadi uiruhusu
 
Unakuta flagship kabisa hawana hii option wakati ni jambo dogo sana kuliko kuanza ku install ma third party applications?

Kuna baadhi zinakuja na hii option nyingine ni mpk u download.
Nani Samsung yake ina support hii kitu?

Kuhusu VoLTE/5G nishakuaga na Samsung A9 Pro 2016 ilikua na hii kitu, leo hii hata flagship hazina.
Nafikiri wameweka rights za mteja kutorekodiwa automatically... Do it for your own risk
Jibu ni ilo hapo juu - Kumrecord mtu mazungumzo yake ni kosa kisheria ndiyo maana ukipiga simu call centre unaambiwa kabisa haya mazungumzo yanarecordiwa so ni option yako uache usirecordiwe uende direct au urecordiwe.....Ndiyo maana hata ukifunga cctv camera au electric fense inabidi uweke tangazo kwamba nyumba hii inalindwa na mitambo maalumu ya kuzuia wezi ,sehemu nyingi kwenye majengo wanaweka kabisa kuna camera.

Serikali imefunga mitambo ya kurecord mazungumzo ya watu nadhani hii kwa ajili ya kiusalama zaidi ila kuna "MTU FURANI" alikuwa anamis-use.

Voice Over LTE ni capability ya mitambo ya simu na si kifaa(device) ,device inaweza kuwa ina support LTE lakini kama mtandao wa simu hawana hiyo feature haiwezi kufanya kazi...Zamani ukiwa kwenye 4G(LTE) ukipigiwa simu inabidi utoke kwenye 4G uende 3G then upokee simu ukishakata inarudi kwenye LTE(4G) ila kwasasa makampuni ya simu yameweka hiyo VoLTE unaweza kupokea simu ukiwa kwenye 4G.
 
Unakuta flagship kabisa hawana hii option wakati ni jambo dogo sana kuliko kuanza ku install ma third party applications?

Kuna baadhi zinakuja na hii option nyingine ni mpk u download.
Nani Samsung yake ina support hii kitu?

Kuhusu VoLTE/5G nishakuaga na Samsung A9 Pro 2016 ilikua na hii kitu, leo hii hata flagship hazina.
Kila siku kuna sheria mpya zinatungwa na kuwabana makampuni ya simu
Suala la Call recording usifikiri wameshindwa kwa mfano samsung za miaka ya 2016 kurudi nyuma zilikuwa na option hiyo ila kuna baadhi ya nchi hasa nchi za Ulaya na Marekani na pia Asia kama Japan(Ambako ndiko soko kubwa liliko) hairihusiwi kurecord maongezi ya simu .... Hali hiyo inayalazimu makampuni kuyokuweka option hiyo
 
Inategemea na version ya nchi gani.
Wanazingatia sheria za nchi pia
Mfano simu zinazotakiwa kuuzwa Australia, India, Denmark, Vietnam Saudi arabia, Bangladesh n.k zina support

Nchi nyingi za ulaya hazina hii kitu, Ni kwa ruhusa maalumu.

Kuhusu VoLTE/5G inaweza kua shida ya mtandao unatumia, Laini, Simu au Network.
 
Back
Top Bottom