JourneyMan
Member
- Apr 1, 2020
- 42
- 50
Unakuta flagship kabisa hawana hii option wakati ni jambo dogo sana kuliko kuanza ku install ma third party applications?
Kuna baadhi zinakuja na hii option nyingine ni mpk u download.
Nani Samsung yake ina support hii kitu?
Kuhusu VoLTE/5G nishakuaga na Samsung A9 Pro 2016 ilikua na hii kitu, leo hii hata flagship hazina.
Jibu ni ilo hapo juu - Kumrecord mtu mazungumzo yake ni kosa kisheria ndiyo maana ukipiga simu call centre unaambiwa kabisa haya mazungumzo yanarecordiwa so ni option yako uache usirecordiwe uende direct au urecordiwe.....Ndiyo maana hata ukifunga cctv camera au electric fense inabidi uweke tangazo kwamba nyumba hii inalindwa na mitambo maalumu ya kuzuia wezi ,sehemu nyingi kwenye majengo wanaweka kabisa kuna camera.Nafikiri wameweka rights za mteja kutorekodiwa automatically... Do it for your own risk
Kila siku kuna sheria mpya zinatungwa na kuwabana makampuni ya simuUnakuta flagship kabisa hawana hii option wakati ni jambo dogo sana kuliko kuanza ku install ma third party applications?
Kuna baadhi zinakuja na hii option nyingine ni mpk u download.
Nani Samsung yake ina support hii kitu?
Kuhusu VoLTE/5G nishakuaga na Samsung A9 Pro 2016 ilikua na hii kitu, leo hii hata flagship hazina.
Hongera, Nishatumiaga A54 haikua na hio option na hapa kuna A55 haina pia.Mbna mm nina a54 na inarecord vzuri tena inbuilt sema hadi uiruhusu