Kwa nini simu ya mume iogopwe kama ukoma?



mkuu naanza kutafakari kukuondoa kundini, kama haya ndiyo unayofanya serious, basi unatuaibisha sana wanaume!!!!!!!!!!!!!!!! yaani umekamtwa na wabeijing kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa hata kuzinduka hufikiriii?????????

pole sana, unahitaji usauri nasaha kaka
 
Dark City naomba kuuliza hivi nikikuomba namba yako ya simu unaweza kunipa na tukawa tunawasiliana kama rafiki na wife ukamwambia huyu ni pal wangu ..
sina nia mbaya kwa kajiswali kangu ...

NB: umefanya vyema kuwa free kati yako na wife
 
Akili Kichwani,

Naamini hata wewe unaandika kufurahisha baraza. Vinginevyo utueleze kuwa huna mama, dada wala mchumba!

kwani kuwa nao ndo wanasizi kuwa wanawake huko walikoolewa? lazima washike adabu huko walipoolewa, vinginevyo hata mie nitawapandishia kwani watakuwa wameniaibisha hata mimi!!!!!!!!!!

this iz ze societ bwana!!!!!!!!!
 
Dark City naomba kuuliza hivi nikikuomba namba yako ya simu unaweza kunipa na tukawa tunawasiliana kama rafiki na wife ukamwambia huyu ni pal wangu ..
sina nia mbaya kwa kajiswali kangu ...

NB: umefanya vyema kuwa free kati yako na wife


Poa tu dada, nitakutumia baadaye kidogo kwa PM. Pia wasiliana na G akupe details zangu.
 
Mkuu, jambo usilojua haliwezi kukuumiza hata siku moja. Just think,.... what would have happened if hearts were transparent?

Tatizo langu ni kukagua, sio kuwa huru kutumia.
Kukagua kunajumuisha
1) kuangalia majina - kuuliza huyu ni nani
2) kuangalia messages - kuuiza huyu ni nani, kwa nn amekwambia hivi, mlikuwa mnaongea nn
3) kuangalia simu zilizopigwa na kuingia na missed calls, na kuuliza.

Kwa nn kukagua?....maana yake ni kwamba tayari ameamua kwamba ww si mwaminifu au haukawii kulamaba nje.
 
Mwenye mada . Hongera sana kwa kuwa na mke mwminifu. Inawezekana ukawa the only person.Hata hivyo umeshawahi kupekuwa hivyo vipima joto vyao ukakosa cm nyingine au chip za mitandao yote wakati wewe unajua moja tu?

Umesema ana tabia ya kufuta msg na calls made. Kwa hiyo hadi hapo huoni hataki ujue mambo yake ? Kukupa wewe cm yake inaweza ikawa pretence tu ili wewe umpe ya kwako akucontrol anavyotaka . Yaani , tuseme wewe humwachia msg zako zote anajisomea tu anavyotaka ? You must be very very extraordinarly exceptional MAN in that case.

Wala hamna binadamu asiyependa privacy. Kwa hiyo ana njia zake za kufanya mambo yake privately na hicho kinokia chake unachoaccess ni toi tu bro. The bottom line is ' Your palm phone is yours and not mine' even if it was in the honey moon. Period.
 
Dark City naomba kuuliza hivi nikikuomba namba yako ya simu unaweza kunipa na tukawa tunawasiliana kama rafiki na wife ukamwambia huyu ni pal wangu ..
sina nia mbaya kwa kajiswali kangu ...

NB: umefanya vyema kuwa free kati yako na wife

he akunyime tena mrembo????????????? labda kama si mwnaume sawasawa!!!!!!!!!!!! la kumwambia wife ndi panahtaji "mipango madhubuti"
 


Mkuu sioni aibu kwani najiona kama mwanaume/baba wa mfano. Kama nilimbwata nitamwomba shemeji yako aongeze dozi. Hata ungenambia nini, my wife is No1 and my mom is No.2. Facts, facts, facts...... never change but make you free person! Unafiki utakuua na magonjwa ya moyo. Ni chaguo lako.
 

haya mambo yanategemea na aina ya maisha tunayoishi kama wale wenzangu na mie wazee wa mahawara ni mwiko kabisa kumwachia wife simu ila siku hizi wachina wametuletea simu unaweza uka block namba ya hawara hata akipiga akupati mpaka utakapo enable so ngumu kushikwa nowadays
 
he akunyime tena mrembo????????????? labda kama si mwnaume sawasawa!!!!!!!!!!!! la kumwambia wife ndi panahtaji "mipango madhubuti"

haha kama wanashea kila kitu akasave tena jina la Firstlady hapo utata mtupu ndani ya 18
 

pole sana, nitaangalia namna ya kukupa ushauri nasaha. hizo nilizobold ni hekaya tu

ukweli ni kwamba no. 1 ni mtu binafsi, yaani wewe binafsi au mimi, no. mbili ni the rest of the worl including all dems (including wife)

inaonekaa wewe mshirikina sana, hayo ya limbwata yameingiaje hapo?

kweli ndoa za kibeijjing?????????? zina mambo kweli!!!!!!!!!!!
 

Hongera wamandoa wengi hawaingiliani katika simu , Mimi kuna wakati simu yangu ilikuwa inasumbua, nikawa natumia ya mke wangu kwa namba yake, na niliponunua nyingine bado watu walikuwa wakipiga kwa namba ya mke wangu, Akipokea huwaomba wapigie namba yangu ya kawaida, na kuna namba nimesevu kwenye simu yake.

Unfortunately haiwezekani. Hata hivyo inaniuma kuona wanadhalilishwa na hao insecure men kwa kisingizio cha kulinda ndoa!
Hakuna kulinda ndoa kwenye simu ,bali ni kulinda maslahi binafsi.
 
haha kama wanashea kila kitu akasave tena jina la Firstlady hapo utata mtupu ndani ya 18

ndio maana nikasema hilo la kumshirikisha wife linahtaji mipango madhubuti, vinginevyo huyu DC anatuzingua tu hapa, yaania asevu FL! kwenye simu yake na mkewe achekelee tu na kuendelea kumkamua tu maji mazito kwa furaha kila siku???

hahahahahaaaaaaaaaaaa, hozi ndizo soga za JF live!!!!!!!
 
Hizo ndizo homework na gharama ambazo mtu mhuni anatakiwa azilipe. Kwa kufanya hivyo angalau anafanya uhuni wake kwa siri badala ya kutumia mabavu kumzuia mke wake kugusa simu.

My point ni kuwa kama mtu ukiamua kulinda/kuchunga 'mzigo wako', usiishie kwenye simu tu uliyopewa access! Fanya zaidi ya hapo.

Kuna mambo mengi sana yanafanyika maofisini na kwengineko bila kuhusisha simu ya mkononi. Kuna wengine wanaaga nyumbani wanaenda kazini, kumbe wapi, ofisini wanajua yupo likizo ya siku mbili au ni mgonjwa! There are a lot of things you need to test if for any reason you are skeptical about your spouse. Ni ushauri tu.
 

Bwahahaaa...Imebidi nicheke badala ya kusikitika..'demu langu nilikute' i think jana nimesoma hii pia! Huna nidhamu kwa wanawake wewe ndo hao tuwasemao si tu suala la cm ni shida kwako but pia ni wale wanaomtreat mwanamke kama kitu' imagine your last sentence speaks volume about u dear!! Iam tellin u cjakasirika napenda sana jokes nimecheka sana na hiyo last part but at the same time pliz take note na icho nilichoongea, i mean 'thats u'!
Ulianza vizuri..iyo ni shida tofauti ya kukurupuka..na it may happen hata kwa mwanaume akikuta namba kwa mke wake!
Mie binafsi natunza heshima yangu na yake pia..nikikuta namba siifahami i will never do that! Na mbona ni nyingi tu! Cause that itanidhalilisha mimi pia pale itapokuwa si vile nilivofikir!..
so unatakiwa umjue mwenzio mana level ya elimu inaweza ingia pia hapo..kama uelewa wake mdogo mwelimishe unfortunately most guys wanatake advantage ya izo situations!..
And makin your partiner a fool!! Mana kumlimit na kumfanya aonekane mjinga kwa watu i regard the other partiner is a fool pia!!

@dark c...Thank u..u have summerized it for me..one sentence..'starehe gharama..waigharamie' .
 
Zamani style ilikuwa wake wengi kuolewa na mwanaume mmoja sasa hivi muelekeo ni ndio hizo nyumba ndogo style. Kiuwiano idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume na hao wanawake wasio na wanaume waponee wapi?

Kuna uthibitisho wa kisayansi kuhusiana na hili? kwa maana ya takwimu kuhusiana na hili; nimepita shule kadhaa mchanganyiko bado idadi ya wasichana ilikuwa ndogo kuliko ya wavulana; lakini kila kukicha inapofika kwenye suala la mahusianao nasikia kuwa idadi ya wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume!

Sipingi hoja lakini naomba kama kuna namna ya kuthibitisha huu usemi na tusiwe tunabeba popular myths za mtaani!
 
ila siku hizi wachina wametuletea simu unaweza uka block namba ya hawara hata akipiga akupati mpaka utakapo enable so ngumu kushikwa nowadays

Na vipi akiamua kutumia namba usiyoijua baada ya wewe kutopatikana?

Yale yale tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…