FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
sister kama unatoa no yako ya simu kuwa mwangalifu bana, uzoefu unaonyesha hawa wanojifanya wanaume wa beijing ndio wala nyama wazuri !!!!!
don' worry Akili Kichwani nimekuwa vya kutosha ..hata kujua jema na baya
namba yangu iko wazi kwa kila Raia wa nchi ya Tanzania anayeteswa na mkewe ..nikiwa kama Firstlady wenu
wewe tu ndo bado hujaipata ni kwa vile bado hujaanza kupigwa na wife 😉
Bwahahaaa...Imebidi nicheke badala ya kusikitika..'demu langu nilikute' i think jana nimesoma hii pia! Huna nidhamu kwa wanawake wewe ndo hao tuwasemao si tu suala la cm ni shida kwako but pia ni wale wanaomtreat mwanamke kama kitu' imagine your last sentence speaks volume about u dear!! Iam tellin u cjakasirika napenda sana jokes nimecheka sana na hiyo last part but at the same time pliz take note na icho nilichoongea, i mean 'thats u'!
Ulianza vizuri..iyo ni shida tofauti ya kukurupuka..na it may happen hata kwa mwanaume akikuta namba kwa mke wake!
Mie binafsi natunza heshima yangu na yake pia..nikikuta namba siifahami i will never do that! Na mbona ni nyingi tu! Cause that itanidhalilisha mimi pia pale itapokuwa si vile nilivofikir!..
so unatakiwa umjue mwenzio mana level ya elimu inaweza ingia pia hapo..kama uelewa wake mdogo mwelimishe unfortunately most guys wanatake advantage ya izo situations!..
And makin your partiner a fool!! Mana kumlimit na kumfanya aonekane mjinga kwa watu i regard the other partiner is a fool pia!!
@dark c...Thank u..u have summerized it for me..one sentence..'starehe gharama..waigharamie' .
teteteteteh kwa heri ..hahahaha.........
Kidogo univunje mbavu kwa kucheka. Eti nini, nipigwe na wife!!!!! Wakina dc hao, sie wenzie kila mlupo ukiokatiza mbele yetu unatuhesimu kama si kutugwaya. Kwasaidie akina dc manake, hiyo demokrasia iliyoko humo nyumbani kwao, mmhhh, ukitafakari sana utawahurumia tu.....
Halfu unavyita hapo kwenye avatar, mie hata no yako sitaki, naweza kufeli masomo yangu bure na wewe kume wa matawi ya juu, ngoja niendelee na maboksi cheap huku...............
he akunyime tena mrembo????????????? labda kama si mwnaume sawasawa!!!!!!!!!!!! la kumwambia wife ndi panahtaji "mipango madhubuti"
na kama anaye ni type yake. birds of the same feathers..so the saying goesAkili Kichwani,
Naamini hata wewe unaandika kufurahisha baraza. Vinginevyo utueleze kuwa huna mama, dada wala mchumba!
haha kama wanashea kila kitu akasave tena jina la Firstlady hapo utata mtupu ndani ya 18
Umuondoe kundi lipi? la watu wenye matatizo kama wewe? just hear mfumo dume uliojaa kwenye maneno yako, kichwa chako na akili yako. You make me sick!mkuu naanza kutafakari kukuondoa kundini, kama haya ndiyo unayofanya serious, basi unatuaibisha sana wanaume!!!!!!!!!!!!!!!! yaani umekamtwa na wabeijing kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa hata kuzinduka hufikiriii?????????
pole sana, unahitaji usauri nasaha kaka
My point ni kuwa kama mtu ukiamua kulinda/kuchunga 'mzigo wako', usiishie kwenye simu tu uliyopewa access! Fanya zaidi ya hapo.
Kuna mambo mengi sana yanafanyika maofisini na kwengineko bila kuhusisha simu ya mkononi. Kuna wengine wanaaga nyumbani wanaenda kazini, kumbe wapi, ofisini wanajua yupo likizo ya siku mbili au ni mgonjwa! There are a lot of things you need to test if for any reason you are skeptical about your spouse. Ni ushauri tu.
who cares whether kuna nyumba ndogo au hakuna? na aliyekwambia sisi pia tukitaka hizo nyumba ndogo au kubwa tunashindwa nani? and fyi we far more inteligent when it comes to vcheating than you guys are, na watu kama wewe wenye attitude kama yako ndo wanaishiaga kulea watoto si wao huku wakiamin kabisa wao ndo mababa.si ndi nia yake akufurahishe?
mtaishia kufurahi tu na kuliwa mnaliwa kila siku. msipobadili tabia zenu, nyumba ndogo haziishi ng'o!!!!!!!!!!!!!!
habari ndo hiyo
naamini hao wanawake unaowapata wote ni mataahira. Bahati yako nimeolewa, na ninaipenda na kuiheshimu ndoa yangu. ningekuwa single, i would have dared you ili nikuonyeshe kuna wanawake who dont take nonsense na ungekuwa mpole kama kuku aliyenyeshewa.poleni sana na kuwa bize na simu za wanume zenu, ila nawaonhya, mkikutana na moto huko siku moja, mnaufyata kama kawa, mkichonga tu vidomo stereo vyenu, yanawakuta kama yale aliyosimulia babra jana.................
habari ndiyo hiyo!
Haahaaahaa...siachi kucheka, u ar cracking me up Akili k...unajua una two sides na unaelewa kabisa what we ar talkn about..but nimerealize umechoose the other side for your own good reasons..yani iyo policy yako unayoichagua..huoni kma utakuwa unamuumiza sana mwanamke ambaye ni mwelewa??? Kumtreat kama 'women u all like this and so ua are too???!!..unajua dear, hapo ndipo penye tatizo la msingi, mwanume anapotongoza hudevelop passion juuu ya mwanmke na anapochumbia, huwa anafanya procurement of his sweet heart,
jamani ndio vionjo vyenyewe, tukiheshimiana sana tunapunguza ladha ya ile kitu. kaangalie filamu ya "unfaithful" utakuta mume alimheshimu sana wife kumbe masikini hakujua kwa kuzidisha heshima anamnyima ile kitu roho inapenda! kusumbuliwa, kutukanwa, kuchokozwa, nk. mama alipokutana na mwanaume asiyemheshimu, alikuwa crazi crazy crazi, anafakamia matunda ya edeni hata kwenye misala ya restaurant anatoa, kwenye makorido, antoa wima, chali, mgongomgongo nk. anaswaga tu..........crazi crazi kuna fundisho pale na si filamu tu.
heshima nawapa, kumbuka dada yangu siwezi kumuita demu, lakini kwa wanume wengine ni demu tu. hata wewe kaka yako huwezi kumuita doli, lakini kwa wadada wengine wanajinafasi kwa kita doli langu, nk. ndizo passion zenyewe jamani.
halafu umekwepa hoja ya msingi ya yule demu mjinga anayesubiri talaka yake kwa kujiumauma na kiingereza chenye kigugumizi. unaona pale uwa kama akinyimwa access na simu ndio ndoa itadumu, akini akipewa, siki za ndoa zinaanza kuhesabika.
nafikiri kwa sababu hatujui mwanamke gani ana akili na nani mjinga, basi blanket policy iwe "marufuku kushika simu yangu" hata huyo DC arobaini zake bado hazijafika. ngoja basi FL1 ampe no yake halafu amseve FL1 na mkewe aone tumeseji kaa ma dearest, sweet, uone kama patakalika.
mpendwa mie sikujui personally lakin nakuhakikishia nikutana na wewe nikakuita my dame, na ninavyojua kuchombeza, utafurahi na utasahau sera zako zote za beijing, hadi kesho yake ndo utakumbka kmbe uko na akili kichwani!!!!!!!!!
ndo maumbile ya Mungu hayo..........................
Haahaahaaaaa uko juuu.... Alafu nashangaa wengine ooh unaangalia phone bk or kuchunguza! Wanaenda off! Tunasema kuacha cm yako iwe free! Mi niperuz majina ya nn??!naamini hao wanawake unaowapata wote ni mataahira. Bahati yako nimeolewa, na ninaipenda na kuiheshimu ndoa yangu. ningekuwa single, i would have dared you ili nikuonyeshe kuna wanawake who dont take nonsense na ungekuwa mpole kama kuku aliyenyeshewa.
who cares whether kuna nyumba ndogo au hakuna? na aliyekwambia sisi pia tukitaka hizo nyumba ndogo au kubwa tunashindwa nani? and fyi we far more inteligent when it comes to vcheating than you guys are, na watu kama wewe wenye attitude kama yako ndo wanaishiaga kulea watoto si wao huku wakiamin kabisa wao ndo mababa.
Hapo mkuu umekwenda mbali! Ni mrembo kwa sura (avatar) au kwa kuwa ni mwanamke?
Naona unanikumbusha msemo wa rafiki yangu mmoja kuwa, "mwizi yeyote huamini kuwa kila mtu ni mwizi"! Mimi siyo na kwa hiyo imani ya namna hiyo hainihusu.
Umuondoe kundi lipi? la watu wenye matatizo kama wewe? just hear mfumo dume uliojaa kwenye maneno yako, kichwa chako na akili yako. You make me sick!
who cares whether kuna nyumba ndogo au hakuna? na aliyekwambia sisi pia tukitaka hizo nyumba ndogo au kubwa tunashindwa nani? and fyi we far more inteligent when it comes to vcheating than you guys are, na watu kama wewe wenye attitude kama yako ndo wanaishiaga kulea watoto si wao huku wakiamin kabisa wao ndo mababa.
naamini hao wanawake unaowapata wote ni mataahira. Bahati yako nimeolewa, na ninaipenda na kuiheshimu ndoa yangu. ningekuwa single, i would have dared you ili nikuonyeshe kuna wanawake who dont take nonsense na ungekuwa mpole kama kuku aliyenyeshewa.
naamini hao wanawake unaowapata wote ni mataahira. Bahati yako nimeolewa, na ninaipenda na kuiheshimu ndoa yangu. ningekuwa single, i would have dared you ili nikuonyeshe kuna wanawake who dont take nonsense na ungekuwa mpole kama kuku aliyenyeshewa.
Nilikuwa naumia sana na kuchukua muda mrefu sana kutofautiana na wewe na kujaribu kuelewa ni wanawake wa aina gani hao unaowaongelea? kumbe ni milupo. now i understand you what else can i expect from a person wqho deals with milupo. its so evident that mwanamke mwenye adabu yake, anayejitambua hawezi kufit description za wanawake unaopata wewe. you can only get milupo because they fit your characters,enjoy it while it lasts with your milupos.hahahaha.........
kidogo univunje mbavu kwa kucheka. eti nini, nipigwe na wife!!!!! wakina DC hao, sie wenzie kila mlupo ukiokatiza mbele yetu unatuhesimu kama si kutugwaya. kwasaidie akina DC manake, hiyo demokrasia iliyoko humo nyumbani kwao, mmhhh, ukitafakari sana utawahurumia tu.....
halfu unavyita hapo kwenye avatar, mie hata no yako sitaki, naweza kufeli masomo yangu bure na wewe kume wa matawi ya juu, ngoja niendelee na maboksi cheap huku...............
Haahaaahaa...siachi kucheka, u ar cracking me up Akili k...unajua una two sides na unaelewa kabisa what we ar talkn about..but nimerealize umechoose the other side for your own good reasons..yani iyo policy yako unayoichagua..huoni kma utakuwa unamuumiza sana mwanamke ambaye ni mwelewa??? Kumtreat kama 'women u all like this and so ua are too???!!..
Anyways nitaitafuta iyo movie unayosema, but rough zipo tu kwenye ndoa my dear hata ukimuheshimu mkeo vip unless isiwe heshima tu uwe mtume labda, zipo na kila mnapozisuluhisha zinaisha kwa mahaba zaidi si lazima ziwe za simu na affair kaka yangu....Iyo part yako ya mwisho mie ukija na ulimi wa asali vip nitajua tu the otherside of u sooner or later iam tellin u bro..may b iam too brave mpaka nachukia sometime!! This is generally!!