Kwa nini sipati mimba??

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,496
Niko kwenye ndoa kwa muda wa miaka 3 sasa sijawahi kutumia njia ya uzazi wa mpango hata siku moja toka kuzaliwa kwangu ila tatizo ni kwamba sipati mimba na MP naenda kama kawaida ila huwa napata maumivu makali sana ya tumbo na kiuno wakati wa MP.Nn tatizo?
 
jitajidi msex siku za 10-15 tangu uanze MP,pia iwe mida ya alfajiri saa 11,pia baada ya kumaliza usikurupuke haraka kwenda kunawa lala kama nusu saa ndiyo ukanawe.Mr ale matango,tikiti maji,viazi vitamu,ugali dona,karanga,korosho,mbogamboga.Utakuja niambia
 
Utapata zaidi weka siku ili wataalam waje waone km ziko sawa.
Uwe na amani pia kula vyakula km walivyoshauri wengine.
 
May be mr ndio ana tatizo,who knows!!!nendeni mkapime wote mjue nani anatatizo
inawezekana kabisa uko ok ila mr ndio anatatizo la pre mature ejaculation,low sperm count au hata sperm morphology.
So be smart,go to the hospital
 
Nenda hospitali kwa wataalam. Lakini pia muombe Mungu akusaidie, usiogope wengine huwa wanachelewa kupata mtoto ila baada ya muda wanapata kama kawaida.

Nendeni wewe na mume wako hospitali mkapate vipimo sahihi huku mkiendelea kumuomba Mungu, atawasaidia
 
Je unaishi pamoja na mumeo?
Kwa wiki mnaweza kufanya tendo la ndoa kama mara ngapi hivi kwa wastani?
Ulishawahi kuugua magonjwa ya njia ya uke(pelvic inflamatory diseases)/UTI ambayo haikutibiwa vizuri?
Do you feel it when you are ovulating??
Mzunguko wako wa hedhi ni regular?huwa unaenda hedhi kwa muda gani? na unabadilisha pedi mara ngapi uliwa kwenye siku zako?na zinakuwa zimelowana kiasi gani??
Hebu nijibu kwanza haya maswali, then nitarudi
 
Nyani Ngabu Sasa si uende kwa fertility specialist....Mmh kwan ugomvi hujisikii acha ndiyo hapa kwani hujui hii ni JF DOCTOR??
 
BONGOLALA jitajidi msex siku za 10-15 tangu uanze MP,pia iwe mida ya alfajiri saa 11,pia baada ya kumaliza usikurupuke haraka kwenda kunawa lala kama nusu saa ndiyo ukanawe.Mr ale matango,tikiti maji,viazi vitamu,ugali dona,karanga,Ahante kwa ushauri.
 
Wewe na mmeo mwende hospital mkapime, mwanaume apimwe sperm count na wewe wakupime ili wajue nini shida, lakini kitu kingine msifanye mapenzi kila siku unamsababishia mmeo awe na sperm changa yaani azoospermia. Na siku za kufanya mapenzi ili upate mtoto ni kati ya siku 9 hadi siku 17 kama mzunguko wako ni siku 28: kwa kifupi chukua mzunguko wa siku zako mfano siku 28 gawanya kwa 2. Yaani 28/2= 14, chukua 14+3= 17 hizi ni siku ambapo siku za kupata mimba zinaishia, 14-5=9 hizi ni siku ambapo siku za hatari zinaanzia. Hivyo kwa mwenye mzunguko wa siku 28 siku zake za hatari ni kati ya 9-17: kwa mwenye mzunguko wa siku 21 na 35 unatafanya hesabu hizo kujua siku za hatari au kupata mimba katika mazunguko wako. Kumbuka siku tunaanza kuhesabu tangu pale unapoanza kutoa damu kwa mara ya kwanza katika mwezi husika.
 
Jaribu kutoka nje ya ndoa uone wiki ndefu tayari
 
Dr. Wansegamila; Naishi na mume wangu,mara 2-3 kwa wiki,sijawahi kuugua magonjwa ya njia ya uke/UTI,mzunguko wangu wa MP siyo regular,naenda siku 3 na damu ni chache sana.
 
Mupirocin; Nisaidie hizo hesabu kwa mzunguko wa siku 21 unakuwaje?
 
Kukosa kupata ujauzito kunasababishwa na vitu vingi da angu, 40% huwa inachangiwa na mke mwenyewe na 40% inatokana na mume na 20% inachangiwa na wanandoa wote kwa pamoja. Mume: wakati wa tendo la kujamiana mume lazima awe na uwezo wa kutoa mbegu nyingi (si chini ya 20mil) kwa mkupuo mmoja kwenye majimaji yanayotosha kuziwezesha mbegu kuogelea kwa nafani kuelekea yai lililopeku liliko. Pia mbegu hizo lazima ziwe zimekomaa, zenye umbo halisi (kichwa kikubwa na mkia mmoja mrefu). Hivyo, mumeo nae anaweza kuwa kikwazo akikosa sifa hizi. Mshauri mumeo asivae nguo na chupi za kubana sana ili kuruhusu sperms nyingi zitengenezwe (spamatogenesis), pia mwambie mumeo asitombe kila siku kila mara ili kuruhusu mbegu zake zipate muda wa kukomaa na kuwa nyingi siku ya kujamiana na wewe siku ya 12-15 tangu MP yako ianze (sio kwisha). Ajiepushe kukaa ama kuoga maji ya moto sana kwenye mapumbu. apunguze unene kama anao na kutibu vidonga vya tumbo, kisukari na presha kama anavyo pia. Muulize kama ameshawahi kuugua gono, kaswende ama pangusa huko nyuma. Mke: Chunguza kama mayai yako yanakomaa (ovulation), na mirija iko wazi. Pia kumbuka kama umeshawahi kutoa mimba kwa njia ya kukwangua (D&C) zaidi ya maramoja na kuendeleA HUENDA uterus yako imepata shida. Punguza unene, hasira na kazi nyingi sana. weka mto matakoni ili utengeneze slope ya spams kuelekea kwenye mayai, endelea kulala chali baada ya mume kuweka mbegu zake. Pia..
 
Nendeni hospitali kwa ajili ya vipimo wote wawili, aina yako ya MP ni kama ya my wife ila yeye watoto full production
 
Nendeni hospitalini wote mkacheki afya ikiwa bado urudi hapa niwape ushauri mzuri wa kuweza kupata watoto
 
Mupirocin; Nisaidie hizo hesabu kwa mzunguko wa siku 21 unakuwaje?

kwa mzunguko wa siku 21 fanya hivi. 21/2= 10.5, approximately 11. 11+3= 14, 11-5= 6, hivyo kama mzunguko wako ni siku 21 siku za hatari/kupata mimba ni kati ya siku 6-14. Sasa huyu mwanamke mara nyingi baada tu kumaliza siku zake tayari anakuwa kwenye danger zone, wengine danger zone huanza huku anabreed, sasa elimu hii wengi hawajui, na wengine hushangaa kwa nini wanapata mimba akifanya mapenzi tu baada ya kumaliza siku zake. Nakutakia mafanikio mema
 
kimada wangu anatatizo kama hilo nae akiwa kwenye mp damu hutoka kidogo sana ila alipoenda hosp. aliambiwa cervix imeziba (njia iliyobaki ni ndogo sana) akaongezwa njia na akapewa muda kabla ya kufanya mapenzi sasa tunangoja siku zifike nadhani kile kidonda kipona then kidume nile mzigo ili kufanya fertilization
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…