Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Unavyosema mzunguko wako wa hedhi siyo regular can you quantify that? kwa mfano unaweza ukapitisha miezi mingapi bila kupata period kabla ya kupata period tena?? halafu hujajibu do you feel when you ovulate?? halafu fuata maelekezo ya chief Muciprocin@ hapo, malizia kujibu maswali yangu then nitarudi kwa mchango wanguDr. Wansegamila; Naishi na mume wangu,mara 2-3 kwa wiki,sijawahi kuugua magonjwa ya njia ya uke/UTI,mzunguko wangu wa MP siyo regular,naenda siku 3 na damu ni chache sana.
Mupirocin; Nisaidie hizo hesabu kwa mzunguko wa siku 21 unakuwaje?
hili swali limeulizwa kwa mupirocin naomba nimsaidie. Kwa mtu mwenye siku 21 ovulatioo hutokea siku ya saba hivyo unatakiwa kucheza ndani ya siku hizo.
Niko kwenye ndoa kwa muda wa miaka 3 sasa sijawahi kutumia njia ya uzazi wa mpango hata siku moja toka kuzaliwa kwangu ila tatizo ni kwamba sipati mimba na MP naenda kama kawaida ila huwa napata maumivu makali sana ya tumbo na kiuno wakati wa MP.Nn tatizo?
kwa mzunguko wa siku 21 fanya hivi. 21/2= 10.5, approximately 11. 11+3= 14, 11-5= 6, hivyo kama mzunguko wako ni siku 21 siku za hatari/kupata mimba ni kati ya siku 6-14. Sasa huyu mwanamke mara nyingi baada tu kumaliza siku zake tayari anakuwa kwenye danger zone, wengine danger zone huanza huku anabreed, sasa elimu hii wengi hawajui, na wengine hushangaa kwa nini wanapata mimba akifanya mapenzi tu baada ya kumaliza siku zake. Nakutakia mafanikio mema