Kwa nini sipati mimba??

Kwa nini sipati mimba??

Dr. Wansegamila; Naishi na mume wangu,mara 2-3 kwa wiki,sijawahi kuugua magonjwa ya njia ya uke/UTI,mzunguko wangu wa MP siyo regular,naenda siku 3 na damu ni chache sana.
Unavyosema mzunguko wako wa hedhi siyo regular can you quantify that? kwa mfano unaweza ukapitisha miezi mingapi bila kupata period kabla ya kupata period tena?? halafu hujajibu do you feel when you ovulate?? halafu fuata maelekezo ya chief Muciprocin@ hapo, malizia kujibu maswali yangu then nitarudi kwa mchango wangu
 
Last edited by a moderator:
Mupirocin; Nisaidie hizo hesabu kwa mzunguko wa siku 21 unakuwaje?

hili swali limeulizwa kwa mupirocin naomba nimsaidie. Kwa mtu mwenye siku 21 ovulatioo hutokea siku ya saba hivyo unatakiwa kucheza ndani ya siku hizo.
 
hili swali limeulizwa kwa mupirocin naomba nimsaidie. Kwa mtu mwenye siku 21 ovulatioo hutokea siku ya saba hivyo unatakiwa kucheza ndani ya siku hizo.

nimeshamjibu chief, ovulation inaweza kutokea kati siku 6-14 kwa mtu mwenye mzunguko wa siku 21:
 
Tatizo la familia isiyofanikiwa kutunga mimba ni frequency ya kufanya mapenzi. Inakuwa kama panadol yaani mara tatu kutwa. Na wanafanya hivyo kwa sababu hamu ya kupata mtoto inakuwa kubwa lakini wanasahau kuwa mbegu za kiume zinatakiwa kukua na kufikia uwezo wa kutungisha mimba. Kama ndivyo hivyo, inatakiwa mke atengane na mume wake kwa zaidi ya mwezi mmoja na kuhakikisha mume hafanyi mapenzi katika kipindi hicho.
 
kwa mzunguko wa siku 21 fanya hivi. 21/2= 10.5, approximately 11. 11+3= 14, 11-5= 6, hivyo kama mzunguko wako ni siku 21 siku za hatari/kupata mimba ni kati ya siku 6-14. Ahsante.
 
Unavyosema mzunguko wako wa hedhi siyo regular can you quantify that? kwa mfano unaweza ukapitisha miezi mingapi bila kupata period kabla ya kupata period tena?? halafu hujajibu do you feel when you ovulate?? Miez 2,No dr.
 
Niko kwenye ndoa kwa muda wa miaka 3 sasa sijawahi kutumia njia ya uzazi wa mpango hata siku moja toka kuzaliwa kwangu ila tatizo ni kwamba sipati mimba na MP naenda kama kawaida ila huwa napata maumivu makali sana ya tumbo na kiuno wakati wa MP.Nn tatizo?

mwambie dk wa ma dk Yesu.yote yawezekana kwake aminiye mengine binadamu hawawezi
 
Dr Wansegamila MP yangu huwa haiko kwenye mtiririko naweza kuchelewa,kuwahi au kupitisha bila kupata kabisa,na pale ninapopata huwa napata kwa maumivu makali sana ya chini ya kitovu na kiuno na naenda kwa siku zisizozidi 3.
 
kwa mzunguko wa siku 21 fanya hivi. 21/2= 10.5, approximately 11. 11+3= 14, 11-5= 6, hivyo kama mzunguko wako ni siku 21 siku za hatari/kupata mimba ni kati ya siku 6-14. Sasa huyu mwanamke mara nyingi baada tu kumaliza siku zake tayari anakuwa kwenye danger zone, wengine danger zone huanza huku anabreed, sasa elimu hii wengi hawajui, na wengine hushangaa kwa nini wanapata mimba akifanya mapenzi tu baada ya kumaliza siku zake. Nakutakia mafanikio mema


je mwenye siku 28 na damu inaanza kutoka 14 na inatoka kwa siku 3?
nisaidie hapa!
 
Back
Top Bottom