The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Ivi unaanzaje kupoteza mda kwenda kumchagua Samia.Wenye mtindio wa ubongo pekee ndiyo watapiga kura
1.Kauza Bandari na Rasilimali zingine nyingi tu
2.Kafukuza wamasai Ngorongoro kwa uonevu mkubwa.
3. Deni la Taifa Tr107 bila maendleo ya kuonekana
4. Muuaji na mtesaji.Mkubwa huyu hana huruma dikteta kabisa Nyoka.
5. Kafuta Toto afya kadi mtesaji mkubwa huyu vitoto vinateseka.
6 Mfumuko wa bei mchele kutoka 1600 mpaka 3000 na mengineyo mengi
7. Mkandamizaji mkubwa wa demokrasia haijawahi kutokea nchi hii
8. Fisadi Mkubwa na anawalea mafisadi wenzake hovyo kabisa.
9. Kaua uzalendo ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama.
10. Utendaji kazi wake upo chini sana ya kiwango.
11. Hajatuambia Vizuri kuhusu Kifo cha Magufuli.
12 Hana mwelekeo wowote yupo yupo tu the country is stack.
Ndugu ymzangu ukipiga kura means umekubaliana na hayo hapo juu. Sisi wengine #TUNATOKA#NRNE##FrerLissu#tunaandmana#