Kwa nini sukari kwa upande wa zanzibar haizidi Tsh 1,800/= kwa kilo, Wao wana viwanda vingapi?

Kwa nini sukari kwa upande wa zanzibar haizidi Tsh 1,800/= kwa kilo, Wao wana viwanda vingapi?

Zanzibar kuna viwanda vingapi vya sukari wakuu, mbona wao bei iko chini.. huku kwetu chai imeshakuwa anasa sasa...
Bei inakuzwa na wauzaji na pia wle importers! Zanzibar asilimia kubwa wana maadili. Vichaa wapo ila wengi upande wa biashara wana maadili na wanafuata miongozo ya mamlaka husika.
Bara inakuzwa na wauzaji na importers.
 
Waulize na wao mchanga ni shingapi.
 
Hawaitozi kodi ipasavyo, na hiyo hupelekea viwanda vyao vya ndani kufa kwa kushindwa na ushindani wa sukari zilizo-expire toka brazil
 
Kodi inayokatwa bidhaa ya huku Bara ni tofauti na ile inayokatwa Visiwani...
 
Bei inakuzwa na wauzaji na pia wle importers! Zanzibar asilimia kubwa wana maadili. Vichaa wapo ila wengi upande wa biashara wana maadili na wanafuata miongozo ya mamlaka husika.
Bara inakuzwa na wauzaji na importers.
mbna hapa kama serikali imepandisha na sio kushusha
 
mbna hapa kama serikali imepandisha na sio kushusha
Fair playing ground....
Sukari inazalishwa na wengine na pia inanuniwa na watu kutoka nje, nao wanafanya biashara! Nina uhakika hayo yamefanyika kwa kuangalia pande zote mbili na kukutana katikati.
 
dodoma wiki iliyopita soko kuu majengo duka moja hivi nilinunua 2600, leo nimepita nikasema kwakuwa waziri kaongelea sukari kuwa bei ishuke ngoja nipite nikachukue kama kilo moja niweke akiba ndani, napita maduka mengi wanajifanya sukari hakuna, duka moja nimeikuta wanasema 3000. Nikawaita wasenge nikawasha usafiri wangu nikasepa bila kununua. Nimemkuta mwenye duka na mfanyakazi...nimetamka shit wote wakisikia. Tanzania ina wauaji wengi sana ambao wamejificha kwenye kimvuri cha ustaarabu
 
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar kuna viwanda vingapi vya sukari wakuu, mbona wao bei iko chini.. huku kwetu chai imeshakuwa anasa sasa...

Sasa Mtu muda wote anakula Samaki na Supu yake iwe asubuhi, mchana na usiku Chai na Sukari Kwake vina Thamani gani?
 
Ujinga unaohalalishwa ni upi?
nini kinafanya sukari ipande wakati mkurugenzi wa mtibwa sugar na kilombero walihojiwa kakasema wao kama kiwanda bado hawajabadili bei ya sukari, Ina maana kiwandani bado bei ni ileile
 
Sio kweli...UKWELI NI KWAMBA VITU VINGI PALE RAHISI...

Sent using Jamii Forums mobile app
Na sababu ni hiyo hiyo, havitozwi kodi stahiki, na ndio maana wengi wanaotaka kuleta bidhaa Tanzania huwa wanafanya uhuni kwa kuviingiza kwanza Zanzibar halafu wanakuwa wanavileta Bara kwa bandari bubu, hasa spea za pikipiki, Sukari na mafuta ya kula
 
Back
Top Bottom