FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Demand and Supply, lazima bei icheze kulingana na upatikanaji wa bidhaa, ili mwenye kisu kikali ndio ale nyama, ila pia kuna middlemen ambao hufanya uhuni wa kununua bidhaa yote kiwandani kisha wanaificha kwenye maghala yao halafu wanauza kidogo kidogo kwa bei ya kulangua, hawa waziri mkuu alishawakemea na serikali inaendelea kutafuta maghala ambayo yanaficha sukari, na ukikamatwa unaficha sukari hiwa inataifishwa yotenini kinafanya sukari ipande wakati mkurugenzi wa mtibwa sugar na kilombero walihojiwa kakasema wao kama kiwanda bado hawajabadili bei ya sukari, Ina maana kiwandani bado bei ni ileile