FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Demand and Supply, lazima bei icheze kulingana na upatikanaji wa bidhaa, ili mwenye kisu kikali ndio ale nyama, ila pia kuna middlemen ambao hufanya uhuni wa kununua bidhaa yote kiwandani kisha wanaificha kwenye maghala yao halafu wanauza kidogo kidogo kwa bei ya kulangua, hawa waziri mkuu alishawakemea na serikali inaendelea kutafuta maghala ambayo yanaficha sukari, na ukikamatwa unaficha sukari hiwa inataifishwa yotenini kinafanya sukari ipande wakati mkurugenzi wa mtibwa sugar na kilombero walihojiwa kakasema wao kama kiwanda bado hawajabadili bei ya sukari, Ina maana kiwandani bado bei ni ileile
Unatetea upuuzi bila hata aibu ?Fair playing ground....
Sukari inazalishwa na wengine na pia inanuniwa na watu kutoka nje, nao wanafanya biashara! Nina uhakika hayo yamefanyika kwa kuangalia pande zote mbili na kukutana katikati.
Sawa ila Usitegemee subsidies za serikali. Wafanya biashara nao wanafanya biashara kwa faida sio kukulisha wewe tu.
Upuuzi mtupu.Demand and Supply, lazima bei icheze kulingana na upatikanaji wa bidhaa, ili mwenye kisu kikali ndio ale nyama, ila pia kuna middlemen ambao hufanya uhuni wa kununua bidhaa yote kiwandani kisha wanaificha kwenye maghala yao halafu wanauza kidogo kidogo kwa bei ya kulangua, hawa waziri mkuu alishawakemea na serikali inaendelea kutafuta maghala ambayo yanaficha sukari, na ukikamatwa unaficha sukari hiwa inataifishwa yote
Kuna kipi kilichosababisha Sukari kupanda wakati hakuna ongezeko la kodi lolote kwenye bidhaa hiyo ?Sawa ila Usitegemee subsidies za serikali. Wafanya biashara nao wanafanya biashara kwa faida sio kukulisha wewe tu.
Hapo WAMEKUTANA KATIKATI. Serikali imepanda na wao wameshuka! Fairness! Hutaki acha!
Wamekutana katikati kwa lipi wakati hakuna genuine reasons za sukari kupanda bei ?Sawa ila Usitegemee subsidies za serikali. Wafanya biashara nao wanafanya biashara kwa faida sio kukulisha wewe tu.
Hapo WAMEKUTANA KATIKATI. Serikali imepanda na wao wameshuka! Fairness! Hutaki acha!
Nipe na wewe point zako tuzione..
Gharama za ku-import sukari au kutengeeza sukari sio kodi tu...Kuna kipi kilichosababisha Sukari kupanda wakati hakuna ongezeko la kodi lolote kwenye bidhaa hiyo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka kutuhaminisha kitengo husika cha serikali haki wajibiki?basi kiwape tenda kampuni binafsi kama kazi ni ngumu kwao kama TRA wanavyo toka tenda za minada na ukamataji wa wakwepa kodi.Bei inakuzwa na wauzaji na pia wle importers! Zanzibar asilimia kubwa wana maadili. Vichaa wapo ila wengi upande wa biashara wana maadili na wanafuata miongozo ya mamlaka husika.
Bara inakuzwa na wauzaji na importers.
Bara kuna afadhari ya mchanga huko kuna afadhari ya sukari hilo ndo namaanisha hamuwezi lingana
Ni sababu zipi ambazo wewe unaona zitasababisha bei ya sukari ishuke? Tuanzie hapo, labda majibu unayo ila unahitaji kufikirishwa na mwingine kwanza ili kujua. Ebu tuanzie hapo kwanza.Wamekutana katikati kwa lipi wakati hakuna genuine reasons za sukari kupanda bei ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini maana ya biashara huria sasa kama serikali inaingilia kati na kupanga bei!?Demand and Supply, lazima bei icheze kulingana na upatikanaji wa bidhaa, ili mwenye kisu kikali ndio ale nyama, ila pia kuna middlemen ambao hufanya uhuni wa kununua bidhaa yote kiwandani kisha wanaificha kwenye maghala yao halafu wanauza kidogo kidogo kwa bei ya kulangua, hawa waziri mkuu alishawakemea na serikali inaendelea kutafuta maghala ambayo yanaficha sukari, na ukikamatwa unaficha sukari hiwa inataifishwa yote
Unaongea maneno matupu.Gharama za ku-import sukari au kutengeeza sukari sio kodi tu...
kuna transport, hapa unaongelea pia mafuta, je soko la maruta likoje? kuna manpower, hapa unaongelea kipindi hiki cha korona je wafanyakazi wote wanazalisha inavyotakiwa? Kuna miscalleneous cost kibao ambazo wewe hujui..
Serikali imefeli yenyewe mzigo inawatwisha wananchi.Kwahiyo unataka kutuhaminisha kitengo husika cha serikali haki wajibiki?basi kiwape tenda kampuni binafsi kama kazi ni ngumu kwao kama TRA wanavyo toka tenda za minada na ukamataji wa wakwepa kodi.
... Zanzibar kuna shida ya mchanga? Kisiwa chote kile si mchanga?Waulize na wao mchanga ni shingapi.
Havitozwi KODI STAHIKI AU KODI YAO NI NDOGO? kulinganisha na HAPA? na kwanini SUKARI NA MAFUTA YA KUTOKA ZANZIBAR NI MARUFUKU KULETA BARA?_TATIZO nn MKUU? hata MAGARI PIA,,YANATOKA HUKU yanapelekwa ZANZIBAR, ,,baadae YANARUDISHWA TENA huku na namba za Zanzibar... Shida nn?Na sababu ni hiyo hiyo, havitozwi kodi stahiki, na ndio maana wengi wanaotaka kuleta bidhaa Tanzania huwa wanafanya uhuni kwa kuviingiza kwanza Zanzibar halafu wanakuwa wanavileta Bara kwa bandari bubu, hasa spea za pikipiki, Sukari na mafuta ya kula
Bara kuna afadhari ya mchanga huko kuna afadhari ya sukari hilo ndo namaanisha hamuwezi lingana
Nafikiri sababu hamna "Monopoly", katika biashara ya sukari Zanzibar.Fair playing ground....
Sukari inazalishwa na wengine na pia inanuniwa na watu kutoka nje, nao wanafanya biashara! Nina uhakika hayo yamefanyika kwa kuangalia pande zote mbili na kukutana katikati.