Ni mwisho wa mazungumzao baada ya habari.
Viongozi wa Tanzania hawawajali walimu wao au walimu kwa ujumla ,Ni viongozi wangapi walioko kwenye serikali wanawakumbuka walimu wao, Hivi anashindwa kutafuta wapi alianzia kusoma , kama hakuweza kwa walimu shule alizopitia ,jamani sadaka inaanzia nyumbani.
Mishahara ya walimu ,mishahara ya wasafisha mji ,mfano kazi ya kusafisha katika nchi fulani hapati isipokuwa raia na mshahara wake ni mnono kupita wa mbunge na wanafanya kazi kuanzia saa sita za usiku hadi asubuhi.
Je kuna Chama chochote kilichoyaweka hayo kwenye sera zake?
Je Kuna Chama kitakubali kushusha mishahara ya wabunge,chanzo cha vurugu Tanzania
Kuna wabunge wakishachaguliwa ndio imetoka hawaonekani mpaka karibia siku za uchaguzi,wananchi huchaguwa mwengine kwa tamaa huwenda , hawana jipya.
Familia za walimu,mapolisi majeshi tumo nazo mitaani tunacheza draft na story za hapa na pale ila za watoto wa wabunge ni mtihani kukaa nao ,maana wazee wake na wetu hawalingani wala kukaribiana kwa kiwango cha mishahara ,madoctor manesi na wahudumu wa mahospitali za serikali nao tupo nao .
Vyama mnaotafuta uongozi mmewahi kutamka au angalau kuweka ahadi za kiwongowongo au mnaendea na kuelekea kulekule bandarini walipo CCM ?
Mnatuhitaji tuwaunge mkono kwa hali na mali kwa kubwa lipi mliloli ahidi ? Kuinua hali za wananchi ?
Sidhani kuna haja ya kupigia makelele mikataba badala ya kumjenga mwanachi na kumuekea mambo utakayomfanyia.
Ni kiongozi mmoja tu niliyewahi kumsikia hapa Tanzania kusema mambo yao yakiwa basi ni lazima mwananchi atalipwa kila mwisho wa mwezi, CUF ya Maalim Seif ..