mimi nashangaa hata kwenye periodic table haipo.madini mengi kwa mfano silver, gold yapo kwenye periodic table na kuna reagents kwenye leboratory zenye majina kama hayo na kuna chemical reactions zake .sasa hii magumashi ya kwetu sijui ni metal sijui ni non metal sijui ni inert gas bas haijulikani. mimi nilitarajia kuona mathalani reaction kati TANZANITE NA CHLORINE KUUNDA TANZANITE CHLORIDE.
nadhani kuna tofauti ya GEMSTONE na hayo madni mengine yaliyopo hapo
mimi nashangaa hata kwenye periodic table haipo.madini mengi kwa mfano silver, gold yapo kwenye periodic table na kuna reagents kwenye leboratory zenye majina kama hayo na kuna chemical reactions zake .sasa hii magumashi ya kwetu sijui ni metal sijui ni non metal sijui ni inert gas bas haijulikani. mimi nilitarajia kuona mathalani reaction kati TANZANITE NA CHLORINE KUUNDA TANZANITE CHLORIDE.
Du uliposema Periodic table, umenikumbusha yale mambo ya " Hilali Hemedi Lile Bebebru")]
naendeleza hapo pekundu
Funga Na Ondoa Figo Nene Na Mgeni Aliyeua Simba Pale Serengeti Club Arudishe Kabla ya Kesi...........dah ilikuwa kazi kweli kweli
Subiri mkuu utaiona kwenye Periodic Table itakayogunduliwa na mwafrika, unataka waiweke wakati inatoka bongo ili ujisifu?mimi nashangaa hata kwenye periodic table haipo.madini mengi kwa mfano silver, gold yapo kwenye periodic table na kuna reagents kwenye leboratory zenye majina kama hayo na kuna chemical reactions zake .sasa hii magumashi ya kwetu sijui ni metal sijui ni non metal sijui ni inert gas bas haijulikani. mimi nilitarajia kuona mathalani reaction kati TANZANITE NA CHLORINE KUUNDA TANZANITE CHLORIDE.
Hi He Li Be Bo Chi Na O Fi Ne Na Mg Ali Si Pa Se Cla Ar Kwa Ca.Du uliposema Periodic table, umenikumbusha yale mambo ya " Hilali Hemedi Lile Bebebru")]
naendeleza hapo pekundu
Funga Na Ondoa Figo Nene Na Mgeni Aliyeua Simba Pale Serengeti Club Arudishe Kabla ya Kesi...........dah ilikuwa kazi kweli kweli
Hilo lilikuwa bonge la remix enzi zetu pale Usagara SS, chini ya utawala wa Headmaster mtu wa watu, Mzee Mrema, Discipline Master Mr.Mziray. Matokeo ya O level & Alevel "A" zilikuwa nyingi mpaka ubao unapendeza sio siku hizi walimu wapo na bado asilimia 60% wa Kawambwa wanafeli. Enzi hizo Mwalimu wa Physics Mr. Hiza haingii darasani hata mwezi mzima akiingia siku hiyo anapiga topic mbili ndani ya dakika 80, ole wako usielewe akitoa zoezi lake.
Uko sahihi mkuu na ndio maana mawe mengine kama lulu,almasi na mengineyo huwezi kuyakuta kwenye Period Table.nadhani kuna tofauti ya GEMSTONE na hayo madni mengine yaliyopo hapo
No! MOST CONTROVERSIAL GAS with a lot of political reagents!Subiri mkuu utaiona kwenye Periodic Table itakayogunduliwa na mwafrika, unataka waiweke wakati inatoka bongo ili ujisifu?
Tusomeshe watoto wetu tu iliwaje waingize na gesi ya mtwara kwenye orodha ya Most Reactive Gases.