Kwa nini Tanzanite haiko kwenye top ten??

Kwa nini Tanzanite haiko kwenye top ten??

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Naomba kujuzwa wadau na hayo madini namba 1 na 2
yanapatikana nchi gani? Na yana kazi gani??
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    46.1 KB · Views: 334
Wakati wa global recession iliyopita bei ya tanzanite kwenye soko la dunia ilishuka sana
 
mimi nashangaa hata kwenye periodic table haipo.madini mengi kwa mfano silver, gold yapo kwenye periodic table na kuna reagents kwenye leboratory zenye majina kama hayo na kuna chemical reactions zake .sasa hii magumashi ya kwetu sijui ni metal sijui ni non metal sijui ni inert gas bas haijulikani. mimi nilitarajia kuona mathalani reaction kati TANZANITE NA CHLORINE KUUNDA TANZANITE CHLORIDE.
 
Last edited by a moderator:

Du uliposema Periodic table, umenikumbusha yale mambo ya " Hilali Hemedi Lile Bebebru"

kwa kifupi tu, kwenye periodic table kuna Elements ambazo zimegawanyika kutoka Metal mpaka gesous elements, Sasa Tanzanite sio element bali ni group of elements ambazo zimekuwa kwenye crystal form (aluminium Al, Silicate oxide SiO2 nk)

Hizo unazozitaja kama Silver na Dhahabu ni element ambazo ziko kwenye group la metal na mara nyingi zinatokea zikiwa kwenye combination forms kama Au-Ag au Cu- Au nk, japo mara nyingine huwa zinatokea zikiwa pekeyake bila muunganiko wa element zingine
 
nadhani kuna tofauti ya GEMSTONE na hayo madni mengine yaliyopo hapo

Kaka Boflo na KAM, ni kweli kuna tofautinkati ya Gemstone na madini mengine, na hiyo list uliyoiweka Boflo ni list ya madini mengine na hakuna gemstone humo

mpaka madini yaitwe Gemstone yanakuwa na sifa nyingi lakini SIFA KUU NNE NI HIZI
1: Rare- Hii ni sifa ya kwanza, ni lazima kiwe ni kitu uncommon na adimu kupatikana
2: iwe na uwezo wa kukatika katika mikato tofauti tofauti
3: Iwe na uwezo wa kubadilika badilika rangi inapokuwa inageuzwa katika angle tofautitofauti ( inaweza kuonekana kama blue na ukigeuza unaona rangi nyingine)
4: Iwe expensive

Diamond inashundwa kuingia kwenye kundi hili la Gemstone kwa kukosa sifa ya kutokuwa na uwezo wa kubadilikabadilika rangi lakini kwa kiasi kikubwa ina sifa nyingi za Gemstone, kisayansi Diamond wanaicategory kama industrial mineral
 
Last edited by a moderator:
Hata Almasi haipo Mkuu wangu na ni mkusanyiko wa Carbons kama Kituko alivyoelezea hapo juu.

Ndiyo maana Warusi baada ya kujua Chain ya Elements za Almasi ilivyo na kuwa inapatikana baada ya joto kali na pressure kubwa kutokea kwa miaka mingi, wakaanzisha mashine za kufuga Carbon (Makaa ya mawe?) na kuyaweka kwenye High Temperature in Very high pressure kwa siku kadhaa na mwisho huvungua na kuangalia kama wamezalisha Almasi au hawakuambulia kitu. Mitambo hiyo walikuja kuinunua Wamarekani na kuiboresha zaidi.

https://www.youtube.com/watch?v=nuC0PNoFvig

mimi nashangaa hata kwenye periodic table haipo.madini mengi kwa mfano silver, gold yapo kwenye periodic table na kuna reagents kwenye leboratory zenye majina kama hayo na kuna chemical reactions zake .sasa hii magumashi ya kwetu sijui ni metal sijui ni non metal sijui ni inert gas bas haijulikani. mimi nilitarajia kuona mathalani reaction kati TANZANITE NA CHLORINE KUUNDA TANZANITE CHLORIDE.
 
Last edited by a moderator:
Du uliposema Periodic table, umenikumbusha yale mambo ya " Hilali Hemedi Lile Bebebru")]

naendeleza hapo pekundu
Funga Na Ondoa Figo Nene Na Mgeni Aliyeua Simba Pale Serengeti Club Arudishe Kabla ya Kesi...........dah ilikuwa kazi kweli kweli
 
Subiri mkuu utaiona kwenye Periodic Table itakayogunduliwa na mwafrika, unataka waiweke wakati inatoka bongo ili ujisifu?

Tusomeshe watoto wetu tu iliwaje waingize na gesi ya mtwara kwenye orodha ya Most Reactive Gases.
 
Hi He Li Be Bo Chi Na O Fi Ne Na Mg Ali Si Pa Se Cla Ar Kwa Ca.
Hilo lilikuwa bonge la remix enzi zetu pale Usagara SS, chini ya utawala wa Headmaster mtu wa watu, Mzee Mrema, Discipline Master Mr.Mziray. Matokeo ya O level & Alevel "A" zilikuwa nyingi mpaka ubao unapendeza sio siku hizi walimu wapo na bado asilimia 60% wa Kawambwa wanafeli. Enzi hizo Mwalimu wa Physics Mr. Hiza haingii darasani hata mwezi mzima akiingia siku hiyo anapiga topic mbili ndani ya dakika 80, ole wako usielewe akitoa zoezi lake.
 
Subiri mkuu utaiona kwenye Periodic Table itakayogunduliwa na mwafrika, unataka waiweke wakati inatoka bongo ili ujisifu?

Tusomeshe watoto wetu tu iliwaje waingize na gesi ya mtwara kwenye orodha ya Most Reactive Gases.
No! MOST CONTROVERSIAL GAS with a lot of political reagents!
 
Back
Top Bottom