Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa lkn hapo juu tushaona linawezekana na tyr kuna watu wanafanya kama vile konnectMoja kwa moja naomba nijibu swali kwa lugha rahisi au nyepesi , swala hili haliwezekani kwa sababu kadha
- Mawasiliano ya satellite yanafanyika kwa njia ya broadcast na multicast, katika njia zote hizi satellite pekee ndio hutuma signal TV zenyewe hufanya kupokea tu, hii inatofautiana na mawasiliano katika internet ni back and forth japokuwa internet pia inafanya broadcast na multicast, hii inamaana gani katika internet unapotuma request lazima kuwe na response provided kwamba unicast na multicast hazitumiki hivyo basi ni kusema kwenye internet kila mtu ni source na ni destination japokuwa sio kila wakati lakini mawasiliano mengi ya internet yanafanyika hivyo
- Mawasiliano ya sattelite kama TV yanafanyika baina ya point mbili ambazo zipo katika fixed position hii inamaanisha kwamba kusudi kupata strong signal inabidi receiver yako kuwa aligned na sattelite katika special angle then inakuwa fixed , dunia inapokuwa inazunguka na satellite pia inakuwa inazunguka pamoja na dunia hivyo ina-maintain the same position and angle, lakini katika mawasiliano ya internet node huwa zinakuwa zina-move mfano mtu anatembea huku anatumia huduma kama vile youtube au facetime hivyo haiwezekani ku-maintain the same angel alignment na satellite
- Sababu nyingine watu wanabidi kutembea na receivers mfano simu yako itumie receiver ambayo itakuwa juu ya kichwa chako, alafu inabidi kuhakikisha kwamba hiyo receiver haiwezi kuwa blocked na majengo milima na vinginevyo. Pia kipindi cha mvua kutakuwa na shida ya network.
Hii kitu ulio ongelea sio hii ya elon mask kweli!!? Ila hapa tz kwa sera zetu za kodi itakua ghali kuliko huduma tulizo zoea japo kwingine mask alipofika ni cheap sana kuliko hizi huduma tunazopataHello bosses,
Niko hapa na-code huku naangalia Azamtv, kiukweli wana graphics kali sana. Sasa nikawa najiuliza hivi hio speed ya transmission inachezea kwenye mb/s ngapi kwa sababu nikisema niangalie video yenye quality hio kwa kutumia intaneti kwanza inabidi niwe na bando la kutosha na pia niwe sehemu ambapo kuna 4g ili video isikwame kwame.
Nikafikiria tena kwa nini hiohio technology isitumike kusambaza huduma ya intaneti? Mie sio mtaalamu wa issue za ving'amuzi na madish lkn kwa ku-analyze kwa juujuu naona kama vile inawezekana, sijui ni nini kinakwamisha hilo?
Kama ukisema gharama ndio inakwamisha sidhani kama ni kweli coz bundle mfano la azam halizidi 20K kwa mwezi?
Anyway kiufupi ni nini kinakwamisha hilo?
CHIEF MKWAWA dronedrake Mshana Jr
We ndo umejibumkuu, TV , upande wa TX (transmission) , ina 'broadcast' ie: wanarusha matangazo, so yapo mda wote hewani, ni wewe ku tune kwa channel uitakayo ( simplex ), end user haombi, hatumi request , ana tune frequency, mambo yanaonesha
haiwezi kua duplex, maana hakuna server upande wa TV-TX
TV inatumia routing fupi, mfumo wa kusafirisha data sio complex, em imagine , Transmitter > Minara > Receiver ( antenna ya mtumiaji ) - Kwa Terrestrial na Transmitter > Satellite > Receiver - Kwa Satellite
kwa Internet ni complex, data ianze kwa antena ya simu, Cell Site Antenna, BTS, BSC, MSC, haya iende kwa Gateway kuu ya ISP , iende kwa Tier1,2 na 3 ... mpaka ifike kwa Server ( assume server ipo Marekani ) hoi, hapo umetuma request tu
Aya jibu lirudi kupitia njia iyo iyo, routing/switching ni ndefu na complex, latency(ping) kubwa, data rate(bps) ndogo
Hola😅😅😅mkuu, TV , upande wa TX (transmission) , ina 'broadcast' ie: wanarusha matangazo, so yapo mda wote hewani, ni wewe ku tune kwa channel uitakayo ( simplex ), end user haombi, hatumi request , ana tune frequency, mambo yanaonesha
haiwezi kua duplex, maana hakuna server upande wa TV-TX
TV inatumia routing fupi, mfumo wa kusafirisha data sio complex, em imagine , Transmitter > Minara > Receiver ( antenna ya mtumiaji ) - Kwa Terrestrial na Transmitter > Satellite > Receiver - Kwa Satellite
kwa Internet ni complex, data ianze kwa antena ya simu, Cell Site Antenna, BTS, BSC, MSC, haya iende kwa Gateway kuu ya ISP , iende kwa Tier1,2 na 3 ... mpaka ifike kwa Server ( assume server ipo Marekani ) hoi, hapo umetuma request tu
Aya jibu lirudi kupitia njia iyo iyo, routing/switching ni ndefu na complex, latency(ping) kubwa, data rate(bps) ndogo