Kwa nini technology inayotumika kutuma signals za Channeli za TV isitumike kusambaza intaneti?

hapo bado kuna issue ya packet routing kitu ambacho satellite haiwezi kufanya
 
Sawa lkn hapo juu tushaona linawezekana na tyr kuna watu wanafanya kama vile konnect

Wao wanakupa toolkit fln unafungiwa nyumbani kwako au ofisini, lkn technical details kama vle kuconvert hio halfduplex comm kuwa full duplex na khs stationary points na packets routing sijajua wanafanyeje.
 
Nafikiri inawezekana. Nilijaribu kusoma kuhusu CABLE & DSL Technology.

CABLE technology ni teknolojia ya kuunganisha Internet kwa kutumia infrastructure za TV (King'amuzi), kinachoongezeka ni CABLE Moderm ambayo inakuwa connected na king'amuzi kupitia port ya RJ-45 kisha hiyo Cable Moderm inakuwa na ports za RJ-45 mbili ili kukonnect na computers zako. Unaweza ku extend number ya ports kwa kutumia switch.

Pia CABLE Moderm zingine zinakuwa zina support wireless technology, hivyo unaweza kuaccess internet kwa smartphone yako.

Tatizo ving'amuzi hivi vya AZAM havina hizo ports (RJ-45 / RJ-11).
Pia infrastructure yao hai-support bandwidth kwa ajili ya internet.

Japo inawezekana kwa makampuni kama AZAM, STARTIMES, na DSTV kuwekeza kwenye distribution of internet. Kikubwa ni ku-upgrade infrastructure iweze kussuport. Pia hardware yao iwe na ports ambazo ni applicable.

Uwezekano upo.
 
Hii kitu ulio ongelea sio hii ya elon mask kweli!!? Ila hapa tz kwa sera zetu za kodi itakua ghali kuliko huduma tulizo zoea japo kwingine mask alipofika ni cheap sana kuliko hizi huduma tunazopata
 
We ndo umejibu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kuna bandiko moja nililisoma walielezea hicho kifaa kinaweza tumika kwenye dish kupata sign za internet
 
Hola😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…