Kwa nini TFF hawataki Kampuni iendeshe ligi?

Kwa nini TFF hawataki Kampuni iendeshe ligi?

Reyes

Senior Member
Joined
Sep 1, 2010
Posts
188
Reaction score
2
Nimekuw nikifwatilia mjadala unaoendelea kati ya vilabu vya ligi kuu vikiongozwa na Geofrey Nyange Kaburu na TFF ambapo vilabu vinataka ligi kuu uendeshwe na kampuni kama FIFA wanavyotaka na kama inavyofanyika katika nchi za Kenya, Uganda, na Ulaya lakini TFF hawataki kwa kuhofia kupoteza Mapato na Deals za kukaa milangoni

Jana TFF walitangaza Kamati ya kusimamia Ligi kuu wakisema ndivyo ilivyo ujerumani lakini ukweli ni kwamba ujerumani ligi inaongozwa na kampuni inayoitwa DFL Deutsche Fußball Liga (GmbH)

wadau tuchangie mawazo
 
hiyo TFF ni genge la mafia fulani hivi ambao wasingependa kugawana hicho litumbua na watu wengine. Ukiweka kampuni ambayo inajiendesha kimapuni sawasqwa, hakutakuwa na nafasi ya wao (TFF) kuiba maana fedha nyingi zinatokana au zinapitia kwenye ligi
 
Mzee inamaana we haujajuaga tu bado yaani hao jamaa cjui ndo tiefuefu washaona mambo tayari yashaanza kuharibika i mean vilabu vimefunguka macho kwa maana hiyo hawatapata pa kulia so, wanachojaribu ni kutengenezeana nafasi kwa ajili ya matumbo yao
 
watakula wapi??

Na ufisadi tulionao, possibility ya fair competition kupata kampuni pia ni ngumu
 
Back
Top Bottom