Nimekuw nikifwatilia mjadala unaoendelea kati ya vilabu vya ligi kuu vikiongozwa na Geofrey Nyange Kaburu na TFF ambapo vilabu vinataka ligi kuu uendeshwe na kampuni kama FIFA wanavyotaka na kama inavyofanyika katika nchi za Kenya, Uganda, na Ulaya lakini TFF hawataki kwa kuhofia kupoteza Mapato na Deals za kukaa milangoni
Jana TFF walitangaza Kamati ya kusimamia Ligi kuu wakisema ndivyo ilivyo ujerumani lakini ukweli ni kwamba ujerumani ligi inaongozwa na kampuni inayoitwa DFL Deutsche Fußball Liga (GmbH)
wadau tuchangie mawazo