Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
KOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, Charles Boniface Mkwasa ametoa orodha ya wachezaji 22 watakaosafiri usiku wa jumapili kuelekea nchini Uturuki kwa kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria Septemba 05, 2015.
Timu Nyingine iliyowahi kufanya hivyo ni Yanga chini ya 'MANJI'
Nakumbuka pia Simba iliwahi kuondoka 'NCHINI NA MIPIRA' Kuelekea Ufaransa mji wa Nice wakati huo chini ya Ufadhili wa Azim Dewji ati kwa ajili ya mazoezi pia