mu-sir yuko sawa..
ni sembe tu hapo, siunajua wale hawakaguliwi airport khvyooo#
usindanganye watu, nani kakwambia hawakaguliwi...
Wanapita V.I.P mkuu
ni sawa kabisamtu asije akakudanganya hata siku moja mkuu, ambao hawakaguliwi ni members wa political delegations tu mfano akija waziri mkuu wa uingereza maybe, raisi wa nchi jirani na wengine kama hao ila wote waliobaki hata awe papa Francis anakaguliwa
hakuna lisilowezekana chini ya juamtu asije akakudanganya hata siku moja mkuu, ambao hawakaguliwi ni members wa political delegations tu mfano akija waziri mkuu wa uingereza maybe, raisi wa nchi jirani na wengine kama hao ila wote waliobaki hata awe papa Francis anakaguliwa