K A B U R U
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 891
- 1,199
Kipindi cha nyuma, mabasi yalikuwa yanazuiwa kufanya safari usiku.
Sababu za alinacha zilitolewa na baadae kupinduliwa bila juhudi zozote za kuondoa sababu hizo za alinacha tulizokuwa tunaaminishwa.
Hivi Sasa mabasi yanasafiri 24 hours na safari za usiku ndio zenye mwitikio mkubwa wa wateja.
Sasa, ni kwa nini Treni ya SGR haina 24 hours services, huku ikiwa haina zile sababu za alinacha?