FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Nashangaa nasikitika na sipati majibu kabisa
Hivi huwa ni akili zetu watanzania au ??
Tunaelewa kabisa huyu ni mbunge wetu whatever lakini katika kipindi chake cha miaka 5/10 or more hajafanya lolote zaidi ya kulala na kutowakilisha hoja zetu |Bungeni kijijini au maeneo yetu hayatamaniki ,hatuna maji ,umeme,barabara mbovu magari hayapiti ,hatuna mahospital ,kina mama wajawazito na watoto wanateseka ..ni matatizo yanayoonekana bila kificho
Inakuwaje bado tunaendelea kuwapigia kura na kuwaweka madarakani?ππ‘
Inakuwaje lakini??

Kwasababu wanakuja na takrima na somo la uraia hatulijui
Sababu ni hizi.........Nashangaa nasikitika na sipati majibu kabisa
Hivi huwa ni akili zetu watanzania au ??
Tunaelewa kabisa huyu ni mbunge wetu whatever lakini katika kipindi chake cha miaka 5/10 or more hajafanya lolote zaidi ya kulala na kutowakilisha hoja zetu |Bungeni kijijini au maeneo yetu hayatamaniki ,hatuna maji ,umeme,barabara mbovu magari hayapiti ,hatuna mahospital ,kina mama wajawazito na watoto wanateseka ..ni matatizo yanayoonekana bila kificho
Inakuwaje bado tunaendelea kuwapigia kura na kuwaweka madarakani?ππ‘
Inakuwaje lakini??
mbona hiyo poll haijakaa vizuri!ebu irekebishe maana sioni options!mi nadhani ni kwa sababu hatuoni mbadala ya hao wanaotutawala.yani nisipompigia nitampigia nani tena?wote walewale!nadhani tunahitaji mbadala wa hawa tulionao leo na sio upinzani njaa!
Kwasababu ya laana tuliyonayo ya kutokujua tunachokifanya.
Kinachotakiwa ni maombi kwa ajili ya kuondoa laana kwanza baada ya hapo tuombe kwa Mungu atupe uwezo wa kujua kuchagua Viongozi watakao weza kutufanyia kazi na sio Viongozi tunaowafanyia kazi sisi kwa ajili ya kujaza matumbo yao.
Na waliochagua kwa ajili ya ushabiki wa chama inawabidi watubu kwa sababu ni dhambi kubwa sana waliotufanyia watanzania.
Sababu ni hizi.........
1. Kipindi cha uchaguzi ndiyo utaona TV zote zinaonyesha vita, huku zikitangaza kuwa kumchagua yeyote nje ya CCM ni kutaka vita. Kwa vile hatujazowea vita, lazima tuogope. We angalia mabomu ya mbagala yalivyotuhangaisha..............
2. Takrima au rushwa
3. Elimu ya uraia hatuna kabisa
4. Watanzania wanaojuwa haki zao kwa mujibu wa katiba ni wachache sana.
5. Mazoea.
6. We are actually fearing risks za kuiondoa CCM.
7. Wagombea wa upinzani huwa wanasimamishwa bila kuangalia kama wanakubalika eneo husika.
8. Kwa vile hatujui haki zetu, tunadhani tunavyopata vinatokana na uwepo wa CCM, hivyo kuwaondoa kunamaanisha kuvikosa. Usishangae kumsikia mtu akisema "CCM imekusomesha, imekuletea amani n.k.........."
ila am so confused inakuwaje katika akili ya kufikirika tunaendelea kufanya hivi .wakati mabadiliko matunda na mafanikio hayaonekaniMy darling first lady, Hivi Nilivokwambia sitapiga tena kura kumbe hukunielewa? Hata usipowapigia kura hao wadudu, lazima watashinda tu. Maboksi ya kura wametengeneza wao, wanayasafirisha wao, kura wanazihesabu wao, mawakala wanawalipa wao (kifisadi), mtangaza matokeo ni mtu wao, ukienda mahakamani utakuta watu wao, wanaapishwa na watu wao,........ Kila kitu chao. Unategemea nini?
Siku ya kupiga kura ungana nami kuchapa mtindi tuongeze damu mwilini kuliko kusimama juani kukausha damu mwilini buuuuuure wakati tutakaowapigia kura hata tufanye nini hawatatangazwa washindi.
Khanga, Vitenge, Tshirts, Pilau.......Wananchi either tumelogwa au we are simply not serious kuhusu maisha yetu.
Tunahitaji maombi ya kuvunja hii laana kwa kweli inauma sana!
Hii kitu mpya ya kuandaa documents zote za kupigia kura ndugu zangu kama kweli wizi wa kura upo masanduku ya kura zilizopigwa yapo tayari.
Labda wasimamizi na wahesabu kura wasiwe watanzania masikini wanaorubuniwa kwa baiskeli.
Naogopa kusema sana napoteza muda wangu. Nashawishika kutokukaa foleni kwa ajili ya kupiga kura.
Tangu nianze kupiga kura kura yangu haijawahi kushinda.
ila am so confused inakuwaje katika akili ya kufikirika tunaendelea kufanya hivi .wakati mabadiliko matunda na mafanikio hayaonekani
kuna Mbunge mmoja kaja hapa wa CCM kanunua masanga kwa vijana vijana baada ya kulewa wakaanza kumzomea πlakini kuzomea tu haisaidii ni vitendo zaidi ndo vinatakiwa ili kuleta mabadiliko ktk nchi hii
Tunakosa fikra sahihi japo tunajua jukumu la kumchagua kiongozi aliyebora lipo kwetu.Nashangaa nasikitika na sipati majibu kabisa
Hivi huwa ni akili zetu watanzania au ??
Tunaelewa kabisa huyu ni mbunge wetu whatever lakini katika kipindi chake cha miaka 5/10 or more hajafanya lolote zaidi ya kulala na kutowakilisha hoja zetu |Bungeni kijijini au maeneo yetu hayatamaniki ,hatuna maji ,umeme,barabara mbovu magari hayapiti ,hatuna mahospital ,kina mama wajawazito na watoto wanateseka ..ni matatizo yanayoonekana bila kificho
Inakuwaje bado tunaendelea kuwapigia kura na kuwaweka madarakani?ππ‘
Inakuwaje lakini??
Uliyoyasema ni kweli lakini, tuna vingi sana vinavyosababisha na unaweza ukaona kila mahali pana at least sababu moja kati ya hizo nilizozitaja. Kukaribia kura za mpinzani wako si kushinda. Kinachotakiwa ni kupata kura zaidi yake...... na si chenga twalawa ...........lakini kufungwa .......... twafungwaGrrrrrr!!!!! Mkuu unataka kutuambia hao wanaosimamishwa na CCM wanakubalika? Mgombea wa upinzani hata akubalike vipi, siku ya siku atapigwa mweleka!
Rejea uchaguzi wa 1995 NCCR Mageuzi ya kina Lamwai, Marando na Mrema walivyoliteka jiji la Dar badala yake uchaguzi wa Dar ukafutwa. Au angalia wa 2000 John Mnyika alivyomchachafya Keenja kule Ubungo na mizengwe ilivyoibuka. Ukitaka kushangaa zaidi rejea uchaguzi na matokeo ya Busanda na Biharamulo.
Mi nakwambieni niacheni nigome kupiga kura niiridhishe nafsi yangu! aggrrrrrr!!!
Grrrrrr!!!!! Mkuu unataka kutuambia hao wanaosimamishwa na CCM wanakubalika? Mgombea wa upinzani hata akubalike vipi, siku ya siku atapigwa mweleka!