FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #21
Uliyoyasema ni kweli lakini, tuna vingi sana vinavyosababisha na unaweza ukaona kila mahali pana at least sababu moja kati ya hizo nilizozitaja. Kukaribia kura za mpinzani wako si kushinda. Kinachotakiwa ni kupata kura zaidi yake...... na si chenga twalawa ...........lakini kufungwa .......... twafungwa
Walipaswa wa mtwange vichwa eehhh teh teh....hata hiyo zomezome ni mwanzo mzuri kwani ujumbe si aliupata...ila am so confused inakuwaje katika akili ya kufikirika tunaendelea kufanya hivi .wakati mabadiliko matunda na mafanikio hayaonekani
kuna Mbunge mmoja kaja hapa wa CCM kanunua masanga kwa vijana vijana baada ya kulewa wakaanza kumzomea 🙂lakini kuzomea tu haisaidii ni vitendo zaidi ndo vinatakiwa ili kuleta mabadiliko ktk nchi hii
wengi wao ni walimu, ndiyo maana wanalipwa madeni yao yote...ili bifu liishelakini ndo hapo linapokuja swala la wanaohesabu kura hizo?
wasimamizi hao
Je tutafika ??
Sababu ni hizi.........
1. Kipindi cha uchaguzi ndiyo utaona TV zote zinaonyesha vita, huku zikitangaza kuwa kumchagua yeyote nje ya CCM ni kutaka vita. Kwa vile hatujazowea vita, lazima tuogope."
hawakubariki hata kidogo mie mbunge wetu lol kimeo lakini ndo mauzauza yayotokea everyday
Nashangaa nasikitika na sipati majibu kabisa
Hivi huwa ni akili zetu watanzania au ??
Tunaelewa kabisa huyu ni mbunge wetu whatever lakini katika kipindi chake cha miaka 5/10 or more hajafanya lolote zaidi ya kulala na kutowakilisha hoja zetu |Bungeni kijijini au maeneo yetu hayatamaniki ,hatuna maji ,umeme,barabara mbovu magari hayapiti ,hatuna mahospital ,kina mama wajawazito na watoto wanateseka ..ni matatizo yanayoonekana bila kificho
Inakuwaje bado tunaendelea kuwapigia kura na kuwaweka madarakani?😕😡
Inakuwaje lakini??
Kwani shosti we uko jimbo gani. Mi niko Kawe na mbunge wangu anaitwa Rita Mlaki. Am telling you, afadhali mbunge wenu kuliko huyu. Hamna kitu kabisa mle.
Kwa mantiki hii hakuna haja ya kupiga kura unless kuwepo na transparent process.
Kinachoboa ni kuwa hata ukikunji kupiga kura, bado huyo usiyempenda atashinda tuuuuuuu.... Tatizo ni kuwa badala ya ku-deal na source, sisi tunahangaika na outcomes. Kwangu tatizo linaanzia hapa......ndo maana mie nikauliza hivi kwa nini huwa tunapiga kura ,ingependeza kam siku moja nchi nzima ikaweka mgomo baridi kwa swala hili
aaaaha ahhaa aaaaah Mabina mbunge wangu ..hafai hata kupungiwa mkono akiwa anapita -hafai hata kutizamwa popote na hafai zaidi katika ufalme wowote
afadhari huyo Rita mlaki