Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaopendekeza serikali tatu welewe kuwa wanaelekea kwenye kuuvunja muungano. Pamoja na mawazo mazuri wanayoweza kuwa nayo lakini ndio utakuwa mwisho wa Tanzania. CCM imeliona hilo na imeshtuka.
Wanaopendekeza serikali tatu welewe kuwa wanaelekea kwenye kuuvunja muungano. Pamoja na mawazo mazuri wanayoweza kuwa nayo lakini ndio utakuwa mwisho wa Tanzania. CCM imeliona hilo na imeshtuka.
Mkuu Amavubi. Nyakati nyingi sisi wadanganyika tunadhani mageuzi ya kisera yanakuja kwa kupinga bila kuonesha alternative policies (sera mbadala) ama kuonesha madhara ya utendaji uliopo. Ni vema kubainisha mapungufu, lakini inakuwa bora zaidi tukitoa mapendekezo pia. Kwa bahati mbaya wapenzi wa serikali 2 wametupatia upande mmoja. Lakini wanasahau kuwa miaka 50 ya Muungano inatosha kutambua wapi tumepungukiwa. Hii ni kwamba mjadala huru huchangia kuleta mabadiliko chanya. Hakuna kutishana. Hakuna kunyoosheana vidole bali objectively tunapingana na constructively tunapeana mawazo mbadala. Hii hakuna nani alikuwa mshindi nani ameshindwa, bali wote tunatafuta common good ya watanganyika na wazanzibar kwanza kisha ndo tunaangalia Muungano. Maana bila Tanganyika na Zanzibar, Muungao (yaani Tanzania) haipo!!!!!!!!!!!!tunataka mifano hai namna hii
Mkuu, Mungu yupo atawahukumu maana wameisha zowea kudanganya familia zao hivo hawaoni aibu kufanya hivo hadharani.Watu wamechoka kweli kweli kufikiri, wanamjadili mtu badala ya kujadili suala lililopo mezani. Wengine wamefikia hatua ya kuhoji integrity ya mzee Warioba.
Kazi ipo ndani ya nchi hii, watu wanadai eti 'sisi hatujatoa maoni hayo' kana kwamba tume ilijifungia chooni kisha ikaja na rasmu. Mungu tusamehe, tumejawa hofu hata hatutumiii akili ipasavyo, hofu ya tumbo
Sawa mkuu, lakini hawa wang'ang'aniaji serikali mbili hoja zao ni mbili tu za kumuenzi baba wa taifa Nyerere na kuwa ni sera ya chama cha CCM basi. Matatizo yaliyopo ambayo ni mengi hawayasemi japo yanaonekana dhahiri.Mkuu Amavubi. Nyakati nyingi sisi wadanganyika tunadhani mageuzi ya kisera yanakuja kwa kupinga bila kuonesha alternative policies (sera mbadala) ama kuonesha madhara ya utendaji uliopo. Ni vema kubainisha mapungufu, lakini inakuwa bora zaidi tukitoa mapendekezo pia. Kwa bahati mbaya wapenzi wa serikali 2 wametupatia upande mmoja. Lakini wanasahau kuwa miaka 50 ya Muungano inatosha kutambua wapi tumepungukiwa. Hii ni kwamba mjadala huru huchangia kuleta mabadiliko chanya. Hakuna kutishana. Hakuna kunyoosheana vidole bali objectively tunapingana na constructively tunapeana mawazo mbadala. Hii hakuna nani alikuwa mshindi nani ameshindwa, bali wote tunatafuta common good ya watanganyika na wazanzibar kwanza kisha ndo tunaangalia Muungano. Maana bila Tanganyika na Zanzibar, Muungao (yaani Tanzania) haipo!!!!!!!!!!!!