Elections 2010 Kwa nini tunamtaka Dr. Slaa- tujikumbushe

Elections 2010 Kwa nini tunamtaka Dr. Slaa- tujikumbushe

guta

Senior Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
186
Reaction score
72
Tujikumbushe siku za nyuma wakati Kikwete alitakiwa kuchuka maamuzi magumu na hakuchukua.
Re: Epa na mambo yake



JK: "Watanzania eh"

WTZ: "Eh"

JK: "Mimi Rais wenu!"

WTZ: "eh!"

JK: "Sina nguvu tena!"

WTZ: "Eh"

JK: "Ya kukamata mafisadi"

WTZ: "Eh"

JK: "Mafisadi ni wajanja"

WTZ: "Eh"

JK: "Wamekomba Benki Kuu"

WTZ. "Eh" kwa shauku!

JK: "Wamelangua na Rada"

WTZ. "Eh" kwa shauku!

JK: "Wameiba Meremeta"

WTZ. "Eh" kwa shauku!

JK: "Wamechota nayo EPA"

WTZ. "Eh" kwa shauku!

JK: "Sasa kimbieni!

Watanzania kila mmoja anaanza kutimka kivyake na mwenye kuweza kufanya ufisadi zaidi anaendelea kufanya tu kwani rais keshashindwa; na kupelekea ufisadi kuendelea kukomaa siku hadi siku. Hivyo ndivyo anvyoonekana Rais Kikwete.
 
Back
Top Bottom