Kwa nini tunapenda??

Kwa nini tunapenda??

We umeuliza swali nimekujibu sasa naona unataka kunichambua mimi!Aliyekwambia nahitaji kujijengea hoja ni nani?Sina sababu ya kujidanganya wala kudangaya!

sikuchambui bali nataka kukuweka sawa katika maisha yako ya mapenzi je nimekosea kwa ninayo yasema?
 
nilianza kupenda baada ya kuangalia movie la titanic. hili movie lilinipa mzuka wa ajabu! tusemeni amen
 
Kwasababu yuko alivyo!Tabia zake..muonekano wake na mengineyo!Pamoja na kuniboa now and then lakini bado anajua jinsi ya kurudisha furaha yangu!

Furaha yako huwa anairudishaje?
 
Kubwa kuliko yote ni kukujali, kukuheshimu na pia kukuonyesha mapenzi ya dhati. Kuna raha sana ya kupenda na kupendwa kama kuna mapenzi ya kweli, mpaka moyo unaenda mbio kwa raha ya kupenda na kupendwa.

YouTube - Nelly - Gone ft. Kelly Rowland
 
Back
Top Bottom