The answer is not far-fetched, this is to give time for the engine part involved in friction with one another to get fully lubricated so as to minimize friction to the required level when you start moving.Habari wadau , hope mu wazima.
Leo nahitaji munisaidie ufafanuzi kuhusiana na hili kuiwacha gari ingurume kama imelala muda mrefu kusudi wengine wanasema temperature ishuke lakin wengine wanadai ni kuifanya oil ipande kwenye mashine.
Sasa kuna ukweli wowote hapa? Na ikiwa hali ndio hiyo vipi kuhusu vyombo vyengine vya moto vya maringi mawili navyo tuwache ingurume ili oil ipande ama hakuna madhara
Naomba kuwasilisha
Gud AnswerThe answer is not far-fetched, this is to give time for the engine part involved in friction with one another to get fully lubricated so as to minimize friction to the required level when you start moving.
perfect!Gud Answer
Kwakiswahil ni Oil/Vilainishi viweze kutembea sehemu zote muhimu ili kuzuia Msuguano usio wa lazima.
Ni kama vile tunavyowaandaa kwanza kabla ya kukurukakara!πππGud Answer
Kwakiswahil ni Oil/Vilainishi viweze kutembea sehemu zote muhimu ili kuzuia Msuguano usio wa lazima.
Hii siyo kweli..Unaandaa gari kwa ajili ya tendo la safari. Na wakati wa kuzima pia usilizime ghafla baada ya safari ya masaa mengi unaliacha kwenye idle mode kwa muda kidogo.
oil ni jambo/kitu cha muhimu sana kwenye gari ndiyo ambayo husaidia kuzuia friction ya vyuma katika engine.Habari wadau , hope mu wazima.
Leo nahitaji munisaidie ufafanuzi kuhusiana na hili kuiwacha gari ingurume kama imelala muda mrefu kusudi wengine wanasema temperature ishuke lakin wengine wanadai ni kuifanya oil ipande kwenye mashine.
Sasa kuna ukweli wowote hapa? Na ikiwa hali ndio hiyo vipi kuhusu vyombo vyengine vya moto vya maringi mawili navyo tuwache ingurume ili oil ipande ama hakuna madhara
Naomba kuwasilisha
Unajua zaidi. Lakini mfumo wa upoozaji wa engine ni vyema ukafanya kazi kwa muda kidogo kabla ya kulizima kwa ghafla baada ya safari ndefu hasa kwa magari ya zamani. Vinginevyo kila gari ina kitabu chake namna ya kufanya. Japokuwa hapa tunaongea tu kwa ujumla. Zingine pia zina cooling systerm nzuriHii siyo kweli..
Ni kama vile tunavyowaandaa kwanza kabla ya kukurukakara!πππ
π€£π€£π€£Mzee wa Chura naona unarelate mambo.
Kwenye Injini yoyote,kabla hujaipa mzigo,kwa maana ya kuweka GIA na kuanzia kutembea(kwa magari),ni vizuri ukasubili kidogo oil ianze kusukumwa kwenye vyuma vyote vinavyozunguka ndani ya Injini,kuanzia piston,con bearing,push rods nk,hii husaidia vyuma visisagane,kumbuka gari ikiwa imesimama,oil yote hushuka chini kwenye "sample"beseni la kuhifadhia oil.kutoka kwenye sample Kuna oil pump,inayosukuma hiyo oil kwenda sehemu zote kwenye Injini.Habari wadau , hope mu wazima.
Leo nahitaji munisaidie ufafanuzi kuhusiana na hili kuiwacha gari ingurume kama imelala muda mrefu kusudi wengine wanasema temperature ishuke lakin wengine wanadai ni kuifanya oil ipande kwenye mashine.
Sasa kuna ukweli wowote hapa? Na ikiwa hali ndio hiyo vipi kuhusu vyombo vyengine vya moto vya maringi mawili navyo tuwache ingurume ili oil ipande ama hakuna madhara
Naomba kuwasilisha
Mmh temperature ishuke? Hapana kabisa.. Ni kuipa nafasi kila mfumo ukae sawaHabari wadau , hope mu wazima.