Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Miaka ya karibuni wananchi wengi hasa vijana, wamejiingiza kwenye uhusiano wa kimapenzi na wageni hasa wazungu. Mapenzi hayakuanza leo, jana wala juzi.
Yamekuwapo wakati wote. Ukweli ni kwamba kuna baadhi ya watu katika mataifa mengi duniani, hutaka kuwa na uhusiano na wageni.
leo wanawake weusi hawataki wanaume weusi kwa jumla. Mwanaume mweusi hakosi nyumba ndogo au tatu. Mwanamke mweusi kishamfahamu kaka yake. Kishamjua. Akishamkubalia, huba au mahaba, hatokuwa yeye tu. Hilo limeenea majuu yote. Limeenea kiasi ambacho dada weusi hawana imani na kaka zao. Wameanza kusaka wazungu. Zamani mzungu hakupendwa sana na mwanamke mweusi. Wapo dada wachache waliokwenda na wazungu ndiyo; ila wengi walidai ah mzungu hana nguvu kitandani. Au walilalamika wajihi wa ngozi haukuwavutia.
Unafikiri ni kwa nini?
Mbongo kutaka mahusiano na Mzungu?
Mzungu kutaka ngozi nyeusi?
soma ziadi: Mwananchi Jumanne Agosti 12 Na Fred Macha