begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
Sahihi
Nina demu mzungu sio siri ni very fun and romantic kuishi nao kinyumba, game anaomba mwenyewe anywhere, anytime..
Sometimes wana matatizo yao, onetime alinunua mayai kadhaa then akayapaka rangi afu akaandika kwenye kapu pale" eggs must be painted not eaten" huku mayai yakiwa na rangi mbalimbali.
Wanafanya kila linalowezekana kuyapa maisha maana hawa wachuchu.