hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
CCM ina catalyze aging reaction ya watanzania.Oxygen ndiyo inatuzehesha lakini tunaihitaji. Kama oxygen isingechangia metabolism process na kutupa nguvu tungezeheka taratibu sana
CCM ina catalyze aging reaction ya watanzania.
Swali lako jibu lake lipo kwenye Bible, kasome kitabu cha mwanzo..
KATIKA BIOLOGY TUMEFUNDISWA KUWA CHEMBE HAI ZA BINADAMU HUGAWANYIKA KUTENGENEZA CHEMBE HAI MFANANO.swali kama zinatengenezwa kuchukua nafasi ya zilizokufa ni kwa nini,binadamu azeeka..Na kama sababu ni rate ya cell kufa kuwa kubwa kuliko ya cell kutengenezwa ni nini.kinacho influence hiyo rate?msaada wenu please.
Nilisikia hii.kuwa Oxyegen ndio inayotupa uhai na ndio inayotuuaOxygen ndiyo inatuzehesha lakini tunaihitaji. Kama oxygen isingechangia metabolism process na kutupa nguvu tungezeheka taratibu sana
inatuzehesha>>>InatuzeeshaOxygen ndiyo inatuzehesha lakini tunaihitaji. Kama oxygen isingechangia metabolism process na kutupa nguvu tungezeheka taratibu sana
Hahaha na ambao hawatumii pombe na hawapigwi limbwata je?Sababu ya mapombe na malimbwata
Asante mwalimuinatuzehesha>>>Inatuzeesha
Tungezeheka>>>Tungezeeka
[emoji106][emoji106][emoji106]Asante mwalimu
MKUU NIPE KIDOGO PHYSIOLOGY YA AGEING NA OXYGENOxygen ndiyo inatuzehesha lakini tunaihitaji. Kama oxygen isingechangia metabolism process na kutupa nguvu tungezeheka taratibu sana