KWA NINI TUNAZEEKA?

KWA NINI TUNAZEEKA?

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
489
Reaction score
454
KATIKA BIOLOGY TUMEFUNDISWA KUWA CHEMBE HAI ZA BINADAMU HUGAWANYIKA KUTENGENEZA CHEMBE HAI MFANANO.swali kama zinatengenezwa kuchukua nafasi ya zilizokufa ni kwa nini,binadamu azeeka..Na kama sababu ni rate ya cell kufa kuwa kubwa kuliko ya cell kutengenezwa ni nini.kinacho influence hiyo rate?msaada wenu please.
 
Swali lako jibu lake lipo kwenye Bible, kasome kitabu cha mwanzo..
 
Oxygen ndiyo inatuzehesha lakini tunaihitaji. Kama oxygen isingechangia metabolism process na kutupa nguvu tungezeheka taratibu sana
 
KATIKA BIOLOGY TUMEFUNDISWA KUWA CHEMBE HAI ZA BINADAMU HUGAWANYIKA KUTENGENEZA CHEMBE HAI MFANANO.swali kama zinatengenezwa kuchukua nafasi ya zilizokufa ni kwa nini,binadamu azeeka..Na kama sababu ni rate ya cell kufa kuwa kubwa kuliko ya cell kutengenezwa ni nini.kinacho influence hiyo rate?msaada wenu please.

Binadamu/Mnyama anaanza kufa pole pole tangu anapozaliwa, ...
 
maxresdefault.jpg
 
Kisayansi ni kwa kuwa kadri miaka inavyoenda ndivyo kiwango cha uzalishaji wa seli mpya unavyopunguwa.

Kidini tunazeeka kwa kuwa hatuna tena access ya ule mti wa uzima ambao majani,mizizi,magome na matunda yake kama Adamu angewahi kuyala basi tungeishi milele.
 
Oxygen ndiyo inatuzehesha lakini tunaihitaji. Kama oxygen isingechangia metabolism process na kutupa nguvu tungezeheka taratibu sana
MKUU NIPE KIDOGO PHYSIOLOGY YA AGEING NA OXYGEN
 
Back
Top Bottom