Kwa nini tushindwe kama tutaamua

Kwa nini tushindwe kama tutaamua

Imma Saro

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
394
Reaction score
197
Kwa nini tushindwe kama tutaamua na kama tutakuwa wamoja na kuweka fikra zetu katika ujenzi wa Taifa hili?, watu wetu ni lazima wawe wazalendo, ni lazima tulilete Taifa pamoja, ni lazima tuwe kama jeshi lililojikusanya kuvamia. Hii nguvu iko mikononi mwetu, nguvu dhidi ya umaskini, maradhi na ujinga iko mikononi mwetu, ni lazima tujipange kuishambulia kwa akili na jasho .
 
Back
Top Bottom