Hivi kweli porofesa mzima wa uchumi anabadilisha pesa eti kuzuia noti za kughushi!!!! I dont think so. angetoa another financial and economical stands kwa zoezi hilo.
Zakumi,
Okay, lets reverse the fortunes. What if Jamhuri and BOT would guarantee a 5% interest into a savings account for anyone who would open an account with a bank during the exercise than taking out a Bulungutu la shilingi kwa shilingi?
Kwa nchi zenye uchumi tete kama Tanzania, ni mbinu ya gavana ku control dafu mtaani. However I doubt kwani kughushi pesa kupo duniani kote na hatujasikia Marekani au UK wakibadilisha noti. Pesa yaweza kubadilishwa gradually. Kama kweli wanataka ku control pesa feki
1. kila mfanyabiashara awe na mashine za kude tect noti bandia
2 wanapochapisha hizo noti basi apewe mkandarasi mwenye kujua kazi yake sio noti inatoka leo kesho ukiiona haifai tena. na watumie modern technology.
Hivi kweli porofesa mzima wa uchumi anabadilisha pesa eti kuzuia noti za kughushi!!!! I dont think so. angetoa another financial and economical stands kwa zoezi hilo.
Date::3/16/2009SHEHENA ya noti mpya za Sh2,000 inatarajiwa kuingia nchini wakati wowote na kuanza kutumika, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilisema jana.
Noti mpya za Sh2,000 kuanza kutumika karibuni
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi
Awali, Prof Ndulu alikiri kuwa wanatarajia kufanya mabadiliko makubwa kwenye fedha za sasa, ingawa hakutaja mabadiliko hayo wala aina ya fedha ambazo zingebadilishwa. Baadaye alibainisha kuwa wataanzia na noti za Sh2,000.
Mpango wa mabadiliko hayo unalenga katika kuondoa saini ya maofisa wawili wa juu wa BoT. Noti za sasa zina saini ya gavana wa zamani wa benki hiyo, Daudi Bilali, ambaye amefariki, na Waziri wa Fedha, Basil Mramba, ambaye amefunguliwa mashtaka ya kutumia vibaya madaraka yake.
Profesa Ndulu alisema Lazad, ambayo ilipaswa kusaini mkataba huo muda mfupi tu baada ya mkutano kati ya Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) na mawaziri wa fedha na magavana wa nchi za Afrika uliofanyika mapema mwezi huu jijini Dar es salaam, iko tayari kwa kazi hiyo.
mm naona hawakufanya vibaya ukizingatia zoezi lenyewe linakwenda hatua kwa hatua, halafu mabadiliko kama haya ni ya kawaida kwa mabenki kila baada ya kipindi fulani, hata kama kusinge kuwa na sababu hizo zilizotajwa, kwani mara ngapi bot imebadili sarafu zake kwa sababu tofauti na hizo, kuhusu timing ni kweli lakini mipango hiyo ilikuwapo kabla hali ya uchumi wa dunia haujapata msukosukoNaomba kuuliza wana JF, sote tunajua kuwa Mramba anatuhumiwa kwa ufisadi/kutotumia vizuri madaraka yake. Vilevile tunatambua kuwa Dr. Daudi Balalli alishafariki. Je hizi ni sababu za musingi kubadilisha noti kwa lengo la kubadili sahihi za wahusika hawa?????, Natambua swala la kuchapisha noti linahitaji pesa nyingi tu na Tanzania si kisiwa katika kipindi hiki cha economic meltdown. Naombeni msaada hapa.
mm naona hawakufanya vibaya ukizingatia zoezi lenyewe linakwenda hatua kwa hatua, halafu mabadiliko kama haya ni ya kawaida kwa mabenki kila baada ya kipindi fulani, hata kama kusinge kuwa na sababu hizo zilizotajwa, kwani mara ngapi bot imebadili sarafu zake kwa sababu tofauti na hizo, kuhusu timing ni kweli lakini mipango hiyo ilikuwapo kabla hali ya uchumi wa dunia haujapata msukosuko